Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,761
Achana na kupiga mwanamke kama ulikuwa na tabia za kukaa kimya ungeendelea tu. Maana kama ni kuchukua mashati ungeuliza yapo wapi ungechukua mwenyewe. Kwa mujibu wa Profesa Vulata ni kwamba mwanamke wako tayari kaonja nje na pia kuna vitu kagundua huko nje. Wanawake japo ni mama zetu wana vichaa sana. Kama unaweza mkalie kimya kbs ningekuwa mimi ndio kashanipoteza kitendo cha kuletewa chakula na dume mwenzio kaka wa mkeo ni dharau kubwa sana.MKALIE KIMYA KABISA. Usimtafute. Swali fikirishi ebu fafanua nyumba ina vyumba vingapi kiasi cha kutojua mke wako yupo chumba gani? Usiwe muungwana sana na mtu aliyeongea na koboko.