Nini hatma ya Lowassa akikosa urais 2015?

Acha ndoto za alinacha,hawawezi kumkata jina lake,hilo haliwezekani kabisa,ana nguvu sana jamaa,kashasambaza pesa vibaya mno,anasubiri mahesabu tu,ukweli ndio huo na tuukubali
 
Kuna mtu alileta thread humu kumlinganisha Dr.Slaa Vs Lowassa

Linapokuja suala la uchapa kazi ,uaminifu na uadilifu katika uongozi na matumizi bora ya raslimali zetu huwezi kutoa chaguo kati ya Shetani na Malaika

Mpambanishe Dr.Slaa na mtu sahihi kwa mahitaji ya wakati.

Uchapa kazi na uadilifu ni lazima viende sambamba ili taifa lipone

Sababu alizotoa Mwl.Nyerere za kuwakataa wagombea bado zipo na zinaendelea.Baadhi yao walipopewa madaraka makubwa baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere kila mmoja alishuhudia Alichokua amekataza.

Sababu alizotumia kuwakataa bado zipo.Hawajawahi na hawana ujasiri wa kujibu walikopata mali.Kiongozi asiyeweza kuelezea alikopata mali zake nu hatari sana katika kipindi hiki ambacho Taifa linakaribia kuvunjwa kwa utovu wa maadili na Rushwa.

Ufisadi hauwezi kuwa alama ya kujivunia ya Taifa letu.Watanzania walipomuona Nyerere kwenye majukwaa ya kimataifa waliona fahari,ilikua ni alama yao.Watanzania walijiona kupitia Mwalimu Nyerere

Hatuwezi kujivunia kuwa ba symbol ya Ibilisi katika medani za kimataifa.Rushwa haiwezi kuwa alama yetu ya fahari.There is no pride !
 
Hivi vyama vya mawazo taabu sana, mara IKI , WAKI, TUTA, TUKI....jamani taabu yote hiyo ya nini..doh saccos kazi kweli kweli
 
Kuna mambo mawili ninayaona hapa:
Wewe ni shabiki mkubwa wa EL, unataka kupima kina cha maji uone kama atumbukie au aache.
Pili, nashindwa kuelewa, ina maana kuwa ccm hakuna tena uhai asipokuwapo EL?
Huu ni ushamba mkubwa. EL hajaanzisha ccm. Walioiasisi wamepita na kuwaachia kijiti wengine na nchi haijayumba. We ni nani useme nchi ati itayumba kwa EL kutochaguliwa mpeperusha bendera ya ccm? Nani kakuambia kuwa 2015 ccm inarudi madarakani? CCM imeshakufa usihofu kusambaratika.
Ushauri, chagua chama kingine mapema kama unataka kushabikia siasa. Nenda na wakati kwa kuyajua majira. CCM itaonja upinzani 2015. Hata angechaguliwa nani hawezi tena kuihuisha ccm
 
Kuna mtu alileta thread humu kumlinganisha Dr.Slaa Vs Lowassa

Linapokuja suala la uchapa kazi ,uaminifu na uadilifu katika uongozi na matumizi bora ya raslimali zetu huwezi kutoa chaguo kati ya Shetani na Malaika

Mpambanishe Dr.Slaa na mtu sahihi kwa mahitaji ya wakati.

Uchapa kazi na uadilifu ni lazima viende sambamba ili taifa lipone

Sababu alizotoa Mwl.Nyerere za kuwakataa wagombea bado zipo na zinaendelea.Baadhi yao walipopewa madaraka makubwa baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere kila mmoja alishuhudia Alichokua amekataza.

Sababu alizotumia kuwakataa bado zipo.Hawajawahi na hawana ujasiri wa kujibu walikopata mali.Kiongozi asiyeweza kuelezea alikopata mali zake nu hatari sana katika kipindi hiki ambacho Taifa linakaribia kuvunjwa kwa utovu wa maadili na Rushwa.

Ufisadi hauwezi kuwa alama ya kujivunia ya Taifa letu.Watanzania walipomuona Nyerere kwenye majukwaa ya kimataifa waliona fahari,ilikua ni alama yao.Watanzania walijiona kupitia Mwalimu Nyerere

Hatuwezi kujivunia kuwa ba symbol ya Ibilisi katika medani za kimataifa.Rushwa haiwezi kuwa alama yetu ya fahari.There is no pride !
Halafu mkuu sijui umetumia kipimo gani katika kuangalia weledi wa Dr wenu, maana kama hizo sifa unazompa ni za ukweli basi jimbo lake la karatu alililiongoza mpaka akaacha mwenyewe lingekua linaongoza kwa maendeleo Tanzania, na Afrika kwa ujumla, lakini , rekodi yake kwa kipimo cha jimbo bado ni dhaifu sana, na ni mtu wa kawaida sana, mnamkuza bure tu, na kumpa sifa asizostahili, na mambo kama haya yanamadhara makubwa sana..
 
Kuna mambo mawili ninayaona hapa:
Wewe ni shabiki mkubwa wa EL, unataka kupima kina cha maji uone kama atumbukie au aache.
Pili, nashindwa kuelewa, ina maana kuwa ccm hakuna tena uhai asipokuwapo EL?
Huu ni ushamba mkubwa. EL hajaanzisha ccm. Walioiasisi wamepita na kuwaachia kijiti wengine na nchi haijayumba. We ni nani useme nchi ati itayumba kwa EL kutochaguliwa mpeperusha bendera ya ccm? Nani kakuambia kuwa 2015 ccm inarudi madarakani? CCM imeshakufa usihofu kusambaratika.
Ushauri, chagua chama kingine mapema kama unataka kushabikia siasa. Nenda na wakati kwa kuyajua majira. CCM itaonja upinzani 2015. Hata angechaguliwa nani hawezi tena kuihuisha ccm

I like your argument.
 
Kwa CCM kuna migawanyiko ya makundi, kundi moja lipo kwa Lowassa na lina nguvu na lingine lipo kwa Membe na lenyewe pia lina nguvu japo lilichelewa kujipambanua. Mbali ya hayo makundi kuna mtu pia inaasemekana kaandaliwa muda mrefu japo hajasikika huyu ni Asha Rose Migiro ambapo wanataka kufanya supprise kama kwa Spika Makinda. Kwa hiyo likikatwa jina la Lowassa kutatokea mpasuko mkubwa ndani ya CCM na kuhujumiana na hata likipita wanaompinga pia wataleta hujuma na pengine kukihama chama.
 
Kuna mambo mawili ninayaona hapa:
Wewe ni shabiki mkubwa wa EL, unataka kupima kina cha maji uone kama atumbukie au aache.
Pili, nashindwa kuelewa, ina maana kuwa ccm hakuna tena uhai asipokuwapo EL?
Huu ni ushamba mkubwa. EL hajaanzisha ccm. Walioiasisi wamepita na kuwaachia kijiti wengine na nchi haijayumba. We ni nani useme nchi ati itayumba kwa EL kutochaguliwa mpeperusha bendera ya ccm? Nani kakuambia kuwa 2015 ccm inarudi madarakani? CCM imeshakufa usihofu kusambaratika.
Ushauri, chagua chama kingine mapema kama unataka kushabikia siasa. Nenda na wakati kwa kuyajua majira. CCM itaonja upinzani 2015. Hata angechaguliwa nani hawezi tena kuihuisha ccm

mkuu mangatara napata shaka kidogo aidha
na elimu yako au uelewa wako,sijaona mahali nimeandka kuw asipochaguliwa lowassa nchi itaingia kwenye machafuko,niliuliza nn kitatokea???usiwe mvivu wa kufikir au tatzo ni uslaaa ndo unao kutatza?
 
Yote kwa yote kila mtanzania ni fisadi,hili kwamza naomba lifahamika hivyo isipokuwa tu ufisadi unatofautiana kati ya mtu na mtu na wakati wa ufisadi wenyewe!,pili hakuna ccm inayoweza kumkata Lowassa eti asigombee labda afe kabla ya kufika wakati huo hasa wa uchaguzi!Tatu,ukiacha ukweli uliopo na propaganda zilizopo kwenye siasa,Lowasa bado anabaki kuwa kiongozi mwenye uwezo wa kuongoza watu na mwenye kujituma,ndiyo maana wakina Dk Slaa pamoja ma kupora wake za watu,pamoja na kutumia vibaya fedha za chama,pamoja na kuwa na tuhuma lukuki bado wanaheshimika ndani ya chake chake uzuri wake bado umefunika yale mabaya anayoyatenda.vivyo hivyo hata kwa Lowassa.
 
Kuna mtu alileta thread humu kumlinganisha Dr.Slaa Vs Lowassa

Linapokuja suala la uchapa kazi ,uaminifu na uadilifu katika uongozi na matumizi bora ya raslimali zetu huwezi kutoa chaguo kati ya Shetani na Malaika

Mpambanishe Dr.Slaa na mtu sahihi kwa mahitaji ya wakati.

Uchapa kazi na uadilifu ni lazima viende sambamba ili taifa lipone

Sababu alizotoa Mwl.Nyerere za kuwakataa wagombea bado zipo na zinaendelea.Baadhi yao walipopewa madaraka makubwa baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere kila mmoja alishuhudia Alichokua amekataza.

Sababu alizotumia kuwakataa bado zipo.Hawajawahi na hawana ujasiri wa kujibu walikopata mali.Kiongozi asiyeweza kuelezea alikopata mali zake nu hatari sana katika kipindi hiki ambacho Taifa linakaribia kuvunjwa kwa utovu wa maadili na Rushwa.

Ufisadi hauwezi kuwa alama ya kujivunia ya Taifa letu.Watanzania walipomuona Nyerere kwenye majukwaa ya kimataifa waliona fahari,ilikua ni alama yao.Watanzania walijiona kupitia Mwalimu Nyerere

Hatuwezi kujivunia kuwa ba symbol ya Ibilisi katika medani za kimataifa.Rushwa haiwezi kuwa alama yetu ya fahari.There is no pride !

hizo chuki zako kwa lowassa mwisho wa ciku nilikuambia utaabika mchana kweupee,tatzo unatumika vibaya ila hushastukia,nina waswas mama yako alikudanganya kuw ww ni mtoto wa lowassa ukamfuata lowassa akakutosa,mrudie tena kaa naye vizur atakuambia baba yako mzazi
 
Halafu mkuu sijui umetumia kipimo gani katika kuangalia weledi wa Dr wenu, maana kama hizo sifa unazompa ni za ukweli basi jimbo lake la karatu alililiongoza mpaka akaacha mwenyewe lingekua linaongoza kwa maendeleo Tanzania, na Afrika kwa ujumla, lakini , rekodi yake kwa kipimo cha jimbo bado ni dhaifu sana, na ni mtu wa kawaida sana, namkuza bure tu, na kumpa sifa asizostahili, na mambo kama haya yanamadhara makubwa sana..

Be informed, huna hoja madhubuti hapa..vinginevo sema kama wewe umekuja kupima upepo, poor mind!, unajua serikali ndio inahusika na umaskini wa kila mahali tanzania bila kujali hili au lile ni jimbo la mbuge gani?...Nani alikwambia majimbo ya wapinzani wabunge ndio wanaleta maendeleo? wapinzani wanaserikali?...hufaham kwamba chama kilichoko madarakani ndicho chenye serikari na serikali hiyo ndio yenye jukumu la kuleta maendeleo kupitia ilani ya chama chake? akili finyu ni hasara kwa mtumiaji na anao kaa nao, you are useless
 
Be informed, huna hoja madhubuti hapa..vinginevo sema kama wewe umekuja kupima upepo, poor mind!, unajua serikali ndio inahusika na umaskini wa kila mahali tanzania bila kujali hili aulile ni bunge la nani?...Nani alikwambia majimbo ya wapinzani wabunge ndio wanaleta maendeleo? wapinzani wanaserikali?...hufaham kwamba chama kilichoko madarakani ndicho chenye serikari na serikali hiyo ndio yenye jukumu la kuleta maendeleo kupitia ilani ya chama chake? akili finy ni hasara kwa mtumiaji na anao kaa nao, you are useless
Kama hiyo iko hivyo vipi kuhusu majumba ya wabunge wenu wanayooyajenga , mbona hayo hayasubirii serikali iliyopo madarakani ili yajengwe, mnatafuta mbinu na sababu za bei rahisi kujitoa katika majukumu yenu ya kuwapa wananchi wa majimbo yenu maendeleo, kifupi mmefeli na uongo wenu upo wazi..
 
mi kuraaaaaaa yngu ni kwa mzeee wa mamviiii mchana,slaa nngempa lakin tatzo amepoooza mkono,na stroke naona ilimgonga,angalia akiwa anashika mic,na angalia mdomo akiwa anaongea mdomo umepinda,lowasa rais ajaye
 
wanajamvi tujadili hili suala,kwa mwndo anaokwenda nao lowassa ni waz hakuna mwanachama yeyete ndn ya ccm anaeweza kufuata alipo pita,amewaacha mbali sna wapinzan wake,sasa kuna tetes kuwa jina lake litakatwa mapema ili kuhakikisha hagombei nafas ya urais kwa tiketi ya ccm,sasa embu tujadili endapo ccm iitamkta jina lake nn kitatokea?????je ndo mwisho wa ccm au mzee wa mammvi atakubali yaishe????naomba ttujadili hili kwa mustakabli wa nchi yetu,ushabiki usio kuwa na maana tuuweke pemben
JIna lako tu linaonyesha akili yako ikoje
 
Kama hiyo iko hivyo vipi kuhusu majumba ya wabunge wenu wanayooyajenga , mbona hayo hayasubirii serikali iliyopo madarakani ili yajengwe, mnatafuta mbinu na sababu za bei rahisi kujitoa katika majukumu yenu ya kuwapa wananchi wa majimbo yenu maendeleo, kifupi mmefeli na uongo wenu upo wazi..

Siwezi kujadili na wewe, nimeona tatizo lako una hoja mfu..poor reasoning
 
Kuna mtu alileta thread humu kumlinganisha Dr.Slaa Vs Lowassa

Linapokuja suala la uchapa kazi ,uaminifu na uadilifu katika uongozi na matumizi bora ya raslimali zetu huwezi kutoa chaguo kati ya Shetani na Malaika

Mpambanishe Dr.Slaa na mtu sahihi kwa mahitaji ya wakati.

Uchapa kazi na uadilifu ni lazima viende sambamba ili taifa lipone

Sababu alizotoa Mwl.Nyerere za kuwakataa wagombea bado zipo na zinaendelea.Baadhi yao walipopewa madaraka makubwa baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere kila mmoja alishuhudia Alichokua amekataza.

Sababu alizotumia kuwakataa bado zipo.Hawajawahi na hawana ujasiri wa kujibu walikopata mali.Kiongozi asiyeweza kuelezea alikopata mali zake nu hatari sana katika kipindi hiki ambacho Taifa linakaribia kuvunjwa kwa utovu wa maadili na Rushwa.

Ufisadi hauwezi kuwa alama ya kujivunia ya Taifa letu.Watanzania walipomuona Nyerere kwenye majukwaa ya kimataifa waliona fahari,ilikua ni alama yao.Watanzania walijiona kupitia Mwalimu Nyerere

Hatuwezi kujivunia kuwa ba symbol ya Ibilisi katika medani za kimataifa.Rushwa haiwezi kuwa alama yetu ya fahari.There is no pride !

Mkuu Ben,naomba nitofautiane na wewe!Sijajua unazungumzia uadilifu gani alio nao Dk Slaa ambao Lowassa hana!

Sijui unazungumzia ufisadi gani ambao Lowassa anao na Dk Slaa hana!

Sijui unazungumzia viongozi gani ambao walikataliwa na Nyerere ambapo utamkosa Dk Slaa!

Sijuia unazungumzia uadilifu gani na uchapa kazi ambao Dk Slaa anao na Lowassa hana kama ulivyowalinganisha!,

Ninachokiona hapa ni kwamba mmoja aliwahi kutengeneza fedha na mwingine leo hii ndiyo amejua utamu wa fedha baada ya kuukimbia utumishi wa Mungu!

Ninachokiona ni kwamba mmoja aliwahi kuwa na wanawake tangu wakati wa ujana wake na mwingine amekuja kuwa na wanawake uzeeni thats why amejikuta kwenye tuhuma za uzinzi!

Naamini hakuna binadamu aliyekamilika wote hawa wana mapungufu tena makubwa lakini ni wachapakazi ambao pengine wanaweza kuisaidia Tanzania endapo watapata urais,ingawa Lowassa ni zaidi!
 
Kuna mtu alileta thread humu kumlinganisha Dr.Slaa Vs Lowassa

Linapokuja suala la uchapa kazi ,uaminifu na uadilifu katika uongozi na matumizi bora ya raslimali zetu huwezi kutoa chaguo kati ya Shetani na Malaika

Mpambanishe Dr.Slaa na mtu sahihi kwa mahitaji ya wakati.

Uchapa kazi na uadilifu ni lazima viende sambamba ili taifa lipone

Sababu alizotoa Mwl.Nyerere za kuwakataa wagombea bado zipo na zinaendelea.Baadhi yao walipopewa madaraka makubwa baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere kila mmoja alishuhudia Alichokua amekataza.

Sababu alizotumia kuwakataa bado zipo.Hawajawahi na hawana ujasiri wa kujibu walikopata mali.Kiongozi asiyeweza kuelezea alikopata mali zake nu hatari sana katika kipindi hiki ambacho Taifa linakaribia kuvunjwa kwa utovu wa maadili na Rushwa.

Ufisadi hauwezi kuwa alama ya kujivunia ya Taifa letu.Watanzania walipomuona Nyerere kwenye majukwaa ya kimataifa waliona fahari,ilikua ni alama yao.Watanzania walijiona kupitia Mwalimu Nyerere

Hatuwezi kujivunia kuwa ba symbol ya Ibilisi katika medani za kimataifa.Rushwa haiwezi kuwa alama yetu ya fahari.There is no pride !
Hya ndo madhara ya jana ume zima kukeketwa!!!Lowassa ndiye rais wa tano wa hii njiii hii,mlaumu baba yake ambilikile mwasapile kwa kutokusoma
 
hizo chuki zako kwa lowassa mwisho wa ciku nilikuambia utaabika mchana kweupee,tatzo unatumika vibaya ila hushastukia,nina waswas mama yako alikudanganya kuw ww ni mtoto wa lowassa ukamfuata lowassa akakutosa,mrudie tena kaa naye vizur atakuambia baba yako mzazi

Sijui kama hili linakubalika humu ndani?!,sijui labda mods mtusaidie!!!
 
Watanzania si wajinga tena kama ilivyo kuwa 2005, wamejuta mno usidhani atakuwa raisi wa nchi hii akigombea na kuchaguliwa nakimbia nchi!
Hamna huruma na nchi yetu mnahongwa visenti kupigia debe wezi kushika madaraka, amelisaidia nini taifa kwa nafasi zake alizo wahi shika hasa hiyo ya waziri mkuu? hawezi chaguliwa sahau!
 
Back
Top Bottom