Nini hatma ya Lowassa akikosa urais 2015?

mi kuraaaaaaa yngu ni kwa mzeee wa mamviiii mchana,slaa nngempa lakin tatzo amepoooza mkono,na stroke naona ilimgonga,angalia akiwa anashika mic,na angalia mdomo akiwa anaongea mdomo umepinda,lowasa rais ajaye

Akili yenu mnafikiri raisi ni kuchagua mme / mke kumbe ni kiongozi sijui akili yenu iko sehemu gani ya mwili hivi hamkukoma tu na handsome wenu au bado mnajichanganya?
 
Sijui kama hili linakubalika humu ndani?!,sijui labda mods mtusaidie!!!

ndo tatzo lenu mkishikwa pabaya mnaanza kutegemea refa awabebe,kubalin tu kuwa lowassa kawabna nusu uwanja hakuna pakupumulia,muulizeni sita moto anaopelekewa kule tabora
 
Hakuna ushabiki hapa nishawahi kusema hapa Jf kuwa CCM bila lowasa ni sawa na kutamani mtoto huku ukiwa -------, kitendo cha kukata jina lake ndio nafasi ya wazi kwa Babu wa Loliondo {Slaa} kutwaa madaraka. Wakimtosa Lowasa hata aje mtoto wa mtume au Papa kupiga kampeni kwa chaguo lao la kuchakachua hakuna tutakachoambulia. Lowasa ni mvumilivu sana labda aamue kuacha mwenyewe ndipo waimba taarabu watapata ahueni. Tena kuna tetesi kuwa wanataka kuweka mgombea mwanamke!. Shit!
 
Baelezee bandugu bajue
 
Ataacha kutoa pesa hovyo hovyo anapo alikwa.kama afanyavyo sasa
 
hizo chuki zako kwa lowassa mwisho wa ciku nilikuambia utaabika mchana kweupee,tatzo unatumika vibaya ila hushastukia,nina waswas mama yako alikudanganya kuw ww ni mtoto wa lowassa ukamfuata lowassa akakutosa,mrudie tena kaa naye vizur atakuambia baba yako mzazi
Ahaa mzee wa siasa za Monduli upo mkuu? Ningeshangaa kukukosa kwenye thread kama hii! Mwenzio Nenjamburken sijamuona sijui hajaoona hii kitu! Vipi mnaendeleaje na harakati za kumnadi Kadogoo kwa Ubunge kumrithi Lowassa?
 
Hakuna ushabiki hapa nishawahi kusema hapa Jf kuwa CCM bila lowasa ni sawa na kutamani mtoto huku ukiwa -------, kitendo cha kukata jina lake ndio nafasi ya wazi kwa Babu wa Loliondo {Slaa} kutwaa madaraka. Wakimtosa Lowasa hata aje mtoto wa mtume au Papa kupiga kampeni kwa chaguo lao la kuchakachua hakuna tutakachoambulia. Lowasa ni mvumilivu sana labda aamue kuacha mwenyewe ndipo waimba taarabu watapata ahueni. Tena kuna tetesi kuwa wanataka kuweka mgombea mwanamke!. Shit!

mkuu nakumbuka nami nilishasema kwamba ccm wanahangaika kila cik kuhakisha lowassa anappotea kisiasa lakin wanashangaa kila wanalotaka kufnya lowassa anawashtukia anabadilisha karata yake,hakika nina imani wasipo mpa lowassa nafs kale kababu ka chadema kana chukuw nchi mchna kweupeeeeeee
 
mi siyo muumini wa siasa za monduli,mtafute fokonyoko ndo mleta uzi,kwhy ww unapompigia babu yako slaa debe ni muumini wa siasa za karatu???jifunze kufikiria kabla hujakimbilia kuchangia
 
Hakuna ushabiki hapa nishawahi kusema hapa Jf kuwa CCM bila lowasa ni sawa na kutamani mtoto huku ukiwa -------, kitendo cha kukata jina lake ndio nafasi ya wazi kwa Babu wa Loliondo {Slaa} kutwaa madaraka. Wakimtosa Lowasa hata aje mtoto wa mtume au Papa kupiga kampeni kwa chaguo lao la kuchakachua hakuna tutakachoambulia. Lowasa ni mvumilivu sana labda aamue kuacha mwenyewe ndipo waimba taarabu watapata ahueni. Tena kuna tetesi kuwa wanataka kuweka mgombea mwanamke!. Shit!

Yero kwenye hiyo tetesi yako mwanamke mwenyewe aliyeandaliwa ni Dr. ASHA ROSE MIGIRO.
 
nadhani anaweza pata mshituko mkubwa sana, hapo alipo cdm wanampa matumaini ya uongo kua tayari ni rais bila hata uchaguzi kufanyika
 
Ahaa mzee wa siasa za Monduli upo mkuu? Ningeshangaa kukukosa kwenye thread kama hii! Mwenzio Nenjamburken sijamuona sijui hajaoona hii kitu! Vipi mnaendeleaje na harakati za kumnadi Kadogoo kwa Ubunge kumrithi Lowassa?

mkuu naona unaniwaza sna,au nilete mahari nn?
 
mi siyo muumini wa siasa za monduli,mtafute fokonyoko ndo mleta uzi,kwhy ww unapompigia babu yake slaa debe ni muumini wa siasa za karatu???jifunze kufikiria kabla hujakimbilia kuchangia

Usipaniki rafiki, nimekuona sana kwenye michango ya Monduli kwenye thread ya list ya watu wanaowania kumrithi Lowassa ubunge leo unaruka namna hiyo aisee?
 
wanajamvi tujadili hili suala,kwa mwndo anaokwenda nao lowassa ni waz hakuna mwanachama yeyete ndn ya ccm anaeweza kufuata alipo pita,amewaacha mbali sna wapinzan wake,sasa kuna tetes kuwa jina lake litakatwa mapema ili kuhakikisha hagombei nafas ya urais kwa tiketi ya ccm,sasa embu tujadili endapo ccm iitamkta jina lake nn kitatokea?????je ndo mwisho wa ccm au mzee wa mammvi atakubali yaishe????naomba ttujadili hili kwa mustakabli wa nchi yetu,ushabiki usio kuwa na maana tuuweke pemben

Jibu la hoja yako ni jepesi sana. Uwezekano wa vikao vya juu vya ccm (hasa kamati kuu) kupitisha jina la EL, SS au mtu mwingine anayoonekana kutoka kwenye kambi moja hasimu na kambi nyingine ni mdogo au niseme haupo. Kitakachofanyika baada ya EL kuondolewa kwenye mchujo wa awali, atagombea kama mgombea binafsi kama katiba mpya itaruhusu hivyo. Hata hivyo, kutokana na taswira yake kwa watanzania walio wengi na hasa wapiga kura vijana kuwa si nzuri kutoka na kashfa ya ufisadi ambayo haijafutika na haiwezi kufutika kabla ya 2015, hawezi kushinda uchaguzi. Atakachofanya ni 'kusaidia' kupunguza kura za ccm na kumpa nguvu mgombea wa upinzani. Mzee SS kwa upande wake, anaweza kukubali yaishe na kusubiri zawadi ya uwaziri, ubalozi au cheo kingine.
 
Usipaniki rafiki, nimekuona sana kwenye michango ya Monduli kwenye thread ya list ya watu wanaowania kumrithi Lowassa ubunge leo unaruka namna hiyo aisee?

Labd nirudie tena,mi siyo muumini wa siasa za monduli,ninapokuw nimepata habar naiweka hapa,nakuweka habar hapa jamvini cyo lazma utoke eneo husika habar inapo tokea,ina maana wale wote walio changia uzi unaozungumzia huko kwenu monduli ni wanatoka monduli?
 
mkuu naona unaniwaza sna,au nilete mahari nn?

Ahaa yero umeshafika kumbe sikukuona kwenye hii kitu ndo maana nikashangaa, enhe changia basi eti mzee wa ngarashi wakimkata jina kwenye kinyang'anyiro itakuwaje? Kuhusu mahari kabila letu wanaume ndio tunatoa mahari kama kabila lenu wanawake mnatoa mahari kwetu ni tofauti lakini hata hivyo mi tayari nina mke siwezi kuoa mwingine. Haya tuachane na hayo changia thread vipi jina la LEIGWANAN LOWASSA likichomolewa nini kitatokea?
 
mkuu nakumbuka nami nilishasema kwamba ccm wanahangaika kila cik kuhakisha lowassa anappotea kisiasa lakin wanashangaa kila wanalotaka kufnya lowassa anawashtukia anabadilisha karata yake,hakika nina imani wasipo mpa lowassa nafs kale kababu ka chadema kana chukuw nchi mchna kweupeeeeeee
Chakachueni vyote mjuavyo ikiwezekana hata Katiba lakini tuachieni huyu Morani,mbona Tanzania tuitakayo iko mikononi mwake, Tanzania imekosa dira baada ya mizegwe kubambikiwa huyu Yelo, leo hii tunaviomba radhi vinywarwanda! Kwa taarifa yenu nyie JAHAZI MODERN TAARAB bila Lowasa maji ya ziwa vict Kahama na Shinyanga yasingefika.
 
Labd nirudie tena,mi siyo muumini wa siasa za monduli,ninapokuw nimepata habar naiweka hapa,nakuweka habar hapa jamvini cyo lazma utoke eneo husika habar inapo tokea,ina maana wale wote walio changia uzi unaozungumzia huko kwenu monduli ni wanatoka monduli?

Hamna ugomvi mkuu kama hautokei huko na wala sio muumini wa siasa za monduli haina shida ila mi nimekuona kwenye kuchangia thread za watu wa monduli hasa wale wanaosemekana kuwania ubunge na kwa majina yao lakini pia hata mi sio wa monduli.
 
Chakachueni vyote mjuavyo ikiwezekana hata Katiba lakini tuachieni huyu Morani,mbona Tanzania tuitakayo iko mikononi mwake, Tanzania imekosa dira baada ya mizegwe kubambikiwa huyu Yelo, leo hii tunaviomba radhi vinywarwanda! Kwa taarifa yenu nyie JAHAZI MODERN TAARAB bila Lowasa maji ya ziwa vict Kahama na Shinyanga yasingefika.

Hata mama salma anajuwa Lowassa ndo rais ajaye wa hii nchi!!!mkuu waache wabweke tu kama mbwa aliyemuona tajir wake
 
mnajua utajiri wa Lowassa??

sio maskini kama baba zenu, he is filthy rich
 
Back
Top Bottom