GE2025 Nini hatima ya Tanganyika baada ya 2025 kama uchaguzi utafanyika?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
How it is started ... How it is going...!
 
Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza
Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover engine ya Toyota
Ndani ya kinachoitwa ccm wameendelea na mchakato kutafuta watakaogombea nafasi za ubunge.. Lakini kwa kilichoonekana wazi haikuwa mchakato wa kutafuta wagombea wa ubunge bali ilikuwa ni mnada wa nafasi za ubunge..
Figisu, rushwa na vimemo vilitembea Sana.. Sasa hao ndio wataunda bunge na,serikali (wabunge na mawaziri).. Hayo baadhi ya majina ya wateuliwa... Mungu atusaidie sana sana.. Maana baada ya uchaguzi
1. Mpasuko ndani ya ccm utakuwa mara dufu.. Fitina zitatembezwa mno
2. Upinzani(CDM) utapata rafiki mwenza toka. com.. Yaani kutakuwa na wapinzani wawili CHADEMA na upinzani ndani ya ccm
3. Pesa itatoweka
4. Utekaji nk vitaongezeka
5.Deni la taifa litaongezeka
6. Usalama wa raia utakuwa shakani zaidi
7. Rasilimali zitazidi kupewa...
8.. Katiba itabadilishwa muda wa kukaa madarakani uongezwe
9. Uchumi utaparaganyika
10. Mabadiliko yasiyotarajiwa
Kuna mengi nashindwa kuendelea...yatatokea....
Mungu ibariki Tanganyika❗View attachment 3404190View attachment 3404190
Hakuna Uchaguzi
 
Pamoja na yote yanaendelea kiukweli kabisa nina imani na Taifa la Mwalimu. Naimani kuna watu wenye nguvu na mamlaka ambazo hatuzioni hawalali kuliponya Taifa. Kaz inaenda vizuri... our Kidon naimani wanafanya kaz yao jeshi lipo standby kwa sasa kaz inaendelea ila kama umeona pres ya Makala kama kuna jambo tayari limesha simamishwa amesema walio katwa hakuna hii ni siri kali... naimani team za siri zipo kulinda masilahi mapana ya Taifa sio mtu hili Taifa limepita nyakati ngumu sana hii nayo tutaipita kila mtu anajuwa shida ipo wapi ila nyoka ni mkali na amehifadhi sumu kali kumdhuru kila anaye tishia uhai wake... akikurushia sumu ume denji... soo ktk hali kama hiyo usiingie mstuni kwa kujiamini utakufa.. Lazima pilipili zichomwe sana na msitu umwagigiwe mafuta ya kutosha ndio shambuliz lifanyike mambo ni moto moto... Majasusi wanahaha... sijuwi wataita operation gani... ila let us 🙏 🤲
 
Hizi ni ndoto za Abunwasi, Makeybord worrior tunahangaika sana.
 
kama utafanyika, hivi mnaamini kabisa kuna uwezekeano uchaguzi usifianyike? CHadema bana
Hivi ni kwanini kila anaetazama mambo tofauti na nyie huaga mnamuhusisha na Chadema? Sounds like Chadema ndio Wazalendo wa nchi hi na sisiemu mnakiri hilo
 
Hatma ni watanganyika wote kuslimishwa na kuwa koloni la muarabu rasmi.
 
Uchaguzi haupo October
 
Tutazama shimoni tushindwe kujinasua..!!
Ni huzuni kwakweli.. 😥
 
Hivi ni kwanini kila anaetazama mambo tofauti na nyie huaga mnamuhusisha na Chadema? Sounds like Chadema ndio Wazalendo wa nchi hi na sisiemu mnakiri hilo

hivi kwanini kila anaepishana kauli na Chadema munahisi kuwa ni CCM? nyie jamaa ni TAKATAKA
 
Pamoja na yote yanaendelea kiukweli kabisa nina imani na Taifa la Mwalimu. Naimani kuna watu wenye nguvu na mamlaka ambazo hatuzioni hawalali kuliponya Taifa. Kaz inaenda vizuri... our Kidon naimani wanafanya kaz yao jeshi lipo standby kwa sasa kaz inaendelea ila kama umeona pres ya Makala kama kuna jambo tayari limesha simamishwa amesema walio katwa hakuna hii ni siri kali... naimani team za siri zipo kulinda masilahi mapana ya Taifa sio mtu hili Taifa limepita nyakati ngumu sana hii nayo tutaipita kila mtu anajuwa shida ipo wapi ila nyoka ni mkali na amehifadhi sumu kali kumdhuru kila anaye tishia uhai wake... akikurushia sumu ume denji... soo ktk hali kama hiyo usiingie mstuni kwa kujiamini utakufa.. Lazima pilipili zichomwe sana na msitu umwagigiwe mafuta ya kutosha ndio shambuliz lifanyike mambo ni moto moto... Majasusi wanahaha... sijuwi wataita operation gani... ila let us 🙏 🤲
Naomba link ya ule uzi wako wa utabiri wa July... Unaongea vitu vizito kwa codes nyingi hapa
 
Hizi ni ndoto za Abunwasi, Makeybord worrior tunahangaika sana.
Sorry bro
cdd10025-b2be-48b4-80dd-9dec18fbf5b7.jpeg
 
Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza
Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover engine ya Toyota
Ndani ya kinachoitwa ccm wameendelea na mchakato kutafuta watakaogombea nafasi za ubunge.. Lakini kwa kilichoonekana wazi haikuwa mchakato wa kutafuta wagombea wa ubunge bali ilikuwa ni mnada wa nafasi za ubunge..
Figisu, rushwa na vimemo vilitembea Sana.. Sasa hao ndio wataunda bunge na,serikali (wabunge na mawaziri).. Hayo baadhi ya majina ya wateuliwa... Mungu atusaidie sana sana.. Maana baada ya uchaguzi
1. Mpasuko ndani ya ccm utakuwa mara dufu.. Fitina zitatembezwa mno
2. Upinzani(CDM) utapata rafiki mwenza toka. com.. Yaani kutakuwa na wapinzani wawili CHADEMA na upinzani ndani ya ccm
3. Pesa itatoweka
4. Utekaji nk vitaongezeka
5.Deni la taifa litaongezeka
6. Usalama wa raia utakuwa shakani zaidi
7. Rasilimali zitazidi kupewa...
8.. Katiba itabadilishwa muda wa kukaa madarakani uongezwe
9. Uchumi utaparaganyika
10. Mabadiliko yasiyotarajiwa
Kuna mengi nashindwa kuendelea...yatatokea....
Mungu ibariki Tanganyika❗View attachment 3404190View attachment 3404190
Watanganyika tuamke, tuchangamke, huu ndio wakati muafaka kukataa kutawaliwa na wala urojo. zanzibar ukristo unachukiwa wazi wazi, mtu ambaye ni rais toka zanzibar unategemea ataupenda ukristo? au kwa kupiga changa la macho kuhudhuria kwa mwamposa mnaona kama anawapenda wakati anawafungia makanisa msisali? kuna watu wanaweza kutawala hii nchi hawana uchungu wowote na Tanganyika uchunguni zanzibar, ndio maana zanzibar imetulia inanawiri tena kwa pesa za bara, na hapo hapo anavuruga umoja ambao WAtanganyika tumekua nao miaka mingi bila kujali dini,anafuta makanisa watu wanahangaika kusali yeye kakaza shingo. anatusaidia nini sasa huyu? wa nini huyu hapa Tanganyika? Mungu na amuondoshe mbali kabisa kwa JIna la Yesu.
 
Tujitenge na zenji na takataka eti muungano ufe
Hahaa! Nimefurahi na kucheka, ingawa sisi Waswahili huwa tunasema "kicheko si furaha" Lukuvi na watangulizi wake kam yeye walisema Zanzibar ni nchi ndogo, hivyo kuwa nje ya muungano ni hatari, hivyo lazima iingizwe kwenye muungano ili kuidibiti.

Nyerere akasema angekuwa na uwezo angeichukua Zanzibar na kuitupilia mbali, hatimae akaona aiingize kwenye muungano kuidhiniti, akiingiza. Sasa kwa haya yanayoendelea yanaonesha kuwa Zanzibar, pamoja na udogo wake, haidhibitiki. Njia pekee ya salama iliyobakia ni huu muungano kufa, kama unavyotabiri. Nasubiri kwa hamu hili la muungano kufa ili Tanganyika iwe pekee. Kwa wale wanaodhani kurudi Tanganyika kuwa nje ya muungano ni neema wasubiri kupata hiyo neema. Nadhani itakuja hivi karibuni!.
 
Back
Top Bottom