Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Unajua hiyo ofisi ina ukubwa gani Hadi upendekeze iwe zahanati? Kama ni chumba kimoja inawezekanaje kuwa zahanati?

Weka picha ili tuione.
 
WAulizwe chama tawala
 
Nadhan miaka 10 ijayo ule uwanja wa ndege kule chato tutageuza Zahanat pia
Mkuu kiongozi UMEFIKA wakati Mambo ya chato ,tuachane nayo kuyajadili ,tunatoa promo isiyokua ya lazima, let them do,as far is part of our tanganyika,kujadili wakati masikio yamezibwa ni kupoteza mda , acha pajengwe hata jumba la dhaabu haina shida Zama huja na pia hupotea tunayo Mambo yetu ya kitaifa,hasa mshikamano wa kitaifa ,katiba mpya, tume huru, haya ndo Mambo ya msingi, Kama hanijui chato KWA Sasa inatumika ili fifisha agenda muhim za kitaifa, na watanzania wenzangu tunaingia kichwa kichwa,that's why leo nimeshangaa ,na majirani wanatushangaa,kwamba prof mzima waziri wa maji anasema mradi wa bil 8 umekamilika chato na wa vijiji vitatu ,wakati tuna mradi TOKA ziwa Victoria kwenda shinyanga,may be up to makao makuu Dodoma unasuasua,
Ki ukweli, ningekua ni mamlaka iliyomteua huyu waziri ,leo alitakiwa hasiwe ofisin, bil 8 kwamba hatujaona miradi ya maji,au anatuona wapumbavu,ila Kama mungu yupo, na Kama haishivyo basi mungu aseme nae
 
Wachina wana technologia ya kuhamisha majengo...lile libewe juu kwa juu nalo lihamishiwe chatial.
Sindano imewainhoa kila mkiheuka chato,mabwana zenu wakichomoa chato,mboga hamna chato,n.k

Mtakomaaa!!
 
Yaani hii nchi kuna mambo ukiyatafakari sana utaishia kupiga magoti na kuomba toba kwa mwenyezi Mungu. Sasa Hayati Sitta alijenga ofisi ya Spika jimboni kwake Urambo kwa maslahi ya nani wakati haitumiki?

Ngoja niishie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…