Nini hasa maana ya neno MATAGA?

Mimi nimeuliza tu kutaka kufahamu maana ni moja ya maneno yanatrend sana kwa sasa, MATAGA na Utopolo
Kuhusu neno Utopolo ni neno la Lugha ya Kihehe na mhehe mmoja mtani wangu huyu aliniambia hilo neno lina maana ya kitu cha hovyo, takataka, bure kabisa, kisicho na maana, hakina nyuma wala mbele, kitu kinachotia kinyaa hata kuangalia. Kama ni mtu maana yake hawezi chochote, legelege, mvivu, hana faida.
 
Great were the days where the economy was stable, law inflation rate and our currency had value.
 
This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.

Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?

Naomba Kuwasilisha.
haya nuie Ma-CCM jibuni swali lenu hilo.
 
This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.

Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?

Naomba Kuwasilisha.
Oh asante
 
Ilishawahi kuwa great miaka ya 70 mwishoni kwa nchi za Africa mashariki. Iliongoza kiuchumi, Kisiasa na kupelekea kusaidia nchi nyingi kupata uhuru.
Tanzania ilibadili dola 1 ya USA kwa sh. 5 tu. Tanzania ilimiliki viwanda vikubwa angalau 10 kwa kila mkoa. Ilimiliki shirika la ndege lenye ndege kubwa kama Boeing 777
 
This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.

Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?

Naomba Kuwasilisha.
Walamba nyayo
 
MATAGA = Make Tanzania Great Again.
Hii ni slogan nzuri ambayo kila mtanzania mwenye nia njema na hii nchi anatakiwa kuibeba.
Mtu yoyote ambaye hataki maendeleo ya Tanzania kiuchumi lazima aichukie hii slogan
IMG_-ufga41.jpeg
 
Hivi hawa wanaotunga slogan hawajui kuna slogan nyingine ukizitamka kwa kiswahili zinaleta ukakasi....
 
Hivi hawa wanaotunga slogan hawajui kuna slogan nyingine ukizitamka kwa kiswahili zinaleta ukakasi....
Ndiyo upeo wao ulipoishia.MATAGA yamekuwa matanga.Kuigaiga kipuuzi.Ile Making America Great Again na wao waka-copy Stupid CCM junkies!🤣🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Trump alianzisha Make America Great Again - MAGA

Wao lummumba buku 7 wasivyo na akili za kufikiria wakaanzisha Make Tanzania Great Again- MATAGA

Sasa swali ni lini Tanzania ilikuwa Great
Na hapo kwenye "buku 7" nimeanza kusikia juz juz, hii ilianzaje had ikawa synonym ya Lumumba kaka?
 
Kwani iliwahi kua Great huko nyuma au ni Copy & pest kutoka kwa Trump

🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom