Nini hasa maana ya neno MATAGA?

Yap, enzi za Mwalimu, kabla ya Kagera war..

Watoto mashuleni walipewa uji ,madaftari, penseli bure..
Gharama za Huduma za afya ilikuwa ndogo sana..
Upendo kati ya watanzania ulikuwa mkubwa bila kujali dini wala kabila wala rangi..
Tanzania ilikuwa nchi inayoogopeka na kuheshimiwa Africa na nje ya Africa..
E.t.c , e.t.c .......
Make Tanzania Great Again, japo sijui waliotoa kauli hii walianzia wapi na walilenga nini
 
Waungwana.
Kuuliza si ujinga. Kuna neno linatumika sana siku hizi, nimeangalia kwenye kamusi sijalikuta, inaonekana Kama ni kifupi cha maneno fulani maana huandikwa kwa uppercase.
Maana ya MATAGA au kirefu chake ni nini?
 
Kutoka kwenye kaulimbiu ya Donald Trump akigombea mwaka 2016, Make America Great Again (MAGA). Yeye akiamini kuwa Marekani inadharaulika na kunyonywa na sera zake za kisiasa na kiuchumi hasa dhidi ya China.

Kijani wakaitwa Make Tanzania Great Again (MATAGA) ila sijui kama viongozi wake waliitaja wenyewe.
 
This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.

Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?

Naomba Kuwasilisha.
Ilizaliwa Kijijini sio Vijijini
 
Back
Top Bottom