Nini hasa maana ya neno MATAGA?

Wale wa Ufipa wanataka kutuburuzwa tuwe MATAPA -- Make Tanzania Poor Again. Hii ni ^know-mar^ na robo ^tar-two!!!^
 
Trump alianzisha Make America Great Again - MAGA

Wao lummumba buku 7 wasivyo na akili za kufikiria wakaanzisha Make Tanzania Great Again- MATAGA

Sasa swali ni lini Tanzania ilikuwa Great
Tanzania haijawahi kuwa great. Labda kwa kifashist wa KAMBARAGE.
Aliyeifikosha hapa ilipo ni mwana Ccm hivyo mwana Ccm yeyote hawezi kuwa suluhisho la matatizo .
Wao wameuziana nyumba za umma mpaka kwa mahawala zao leo huo uchungu wanapata wapii
 
This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.

Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?

Naomba Kuwasilisha.

Ndiyo, I think Tanzania was a great nation when she was fighting for the liberation of Southern Africa. At that time, yes, Tanzania was a fearless country, that could not succumb to anyone. She chose also to follow Non alignment politics, so as to be free from west and eastern countries.
 
Trump alianzisha Make America Great Again - MAGA

Wao lummumba buku 7 wasivyo na akili za kufikiria wakaanzisha Make Tanzania Great Again- MATAGA

Sasa swali ni lini Tanzania ilikuwa Great
Enzi za Nyerere, Eliku bureee,sfya bureee,hatua kubwa ilifikiwa kwa kipindi kifupi,Waulize wakongwe thamani ya Shilingi Dhidi ya Dollar ilikuwaje kabls ma ya 1985!
Kwenye Diplakasia ya Kimatsifa ndio usiseme!
Hao MATAGA ndio maana hutokea na jasho na povu kutaka kumlingamisha Jiwe na My.Nyerere
 
This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.

Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?

Naomba Kuwasilisha.
mwaka 1967 mpaka mwaka 1978
 
kifupi MATAGA tuliiga MAGA (MAKE AMERICA GREAT AGAIN) ya Donald Trump
 
Back
Top Bottom