MATAG badala ya MATAGA

Dadeq

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
318
186
Habari wanajamvi.
Kuna hawa watu wanajiita MATAGA (Make Tanzania Great Again). Kwa uelewa wangu naona kuwa wanakosea sana. Nadhani hii ni copy and paste ya kauli mbiu ya Trump (Make America Great Again). Marekani ni sawa kabisa kwani imepitia vipindi mbalimbali vya ukuu katika nyanja mbalimbali. Unaposema unaifanya Tanzania great again, je, ni lini ilikuwa great?

Napendekeza hao watu wajiite MATAG (Make Tanzania Great) hiyo again waiache kwani walipo copy and paste hawakuangalia muktadha wa Tanzania. Jina halisadifu uhalisia

Wasaalam,
Ndimi,
Dadeq
 
Make Tanzania great kwenye nini? Lazima tuwe na vipaumbele. Miundombinu hola, elimu hola, michezo hola, kilimo hakuna kitu.

Tungejikita eneo moja ambalo tunaona tunaweza kua great ila kusema tu make Tanzania great ni very general term.
 
Habari wanajamvi.
Kuna hawa watu wanajiita MATAGA (Make Tanzania Great Again). Kwa uelewa wangu naona kuwa wanakosea sana. Nadhani hii ni copy and paste ya kauli mbiu ya Trump (Make America Great Again). Marekani ni sawa kabisa kwani imepitia vipindi mbalimbali vya ukuu katika nyanja mbalimbali. Unaposema unaifanya Tanzania great again, je, ni lini ilikuwa great?

Napendekeza hao watu wajiite MATAG (Make Tanzania Great) hiyo again waiache kwani walipo copy and paste hawakuangalia muktadha wa Tanzania. Jina halisadifu uhalisia

Wasaalam,
Ndimi,
Dadeq

‘...Nitamshauri Waziri Kangi atafute Sheria ya kukushtaki na tukiikosa tutakusumbua mpaka Wana JF wenzio wakuonee huruma ‘ in Engineer Kamwele Voice
 
Habari wanajamvi.
Kuna hawa watu wanajiita MATAGA (Make Tanzania Great Again). Kwa uelewa wangu naona kuwa wanakosea sana. Nadhani hii ni copy and paste ya kauli mbiu ya Trump (Make America Great Again). Marekani ni sawa kabisa kwani imepitia vipindi mbalimbali vya ukuu katika nyanja mbalimbali. Unaposema unaifanya Tanzania great again, je, ni lini ilikuwa great?

Napendekeza hao watu wajiite MATAG (Make Tanzania Great) hiyo again waiache kwani walipo copy and paste hawakuangalia muktadha wa Tanzania. Jina halisadifu uhalisia

Wasaalam,
Ndimi,
Dadeq
Na hiyo MATAG nayo ni copy-and-paste ya kauli mbiu mpya ya Trump kwenye 2020 elections (Make America Great).
 
Ni bora hata waseme" Make Tanzania Happy Again,maana angalau huko nyuma tulikuwa na furaha.
 
Back
Top Bottom