Kumwambia mtu ambaye ana mshahara duni kapumbazwa na ajira kwa sababu hajajenga nyumba ni kumtia chumvi katika donda lake la mshahara duni.
Sasa walimu na askari ni watu wa kuwalaumu kwa sababu hawajajenga?
Kwa mshahara gani wanaolipwa?
Angalau askari anachance ya kupata rushwa tofauti na mwalimu labda aendeshe bodaboda kuongeza kipato.Hakuna mwajira anawezajenga kwa mshahara nje ya rushwa.Mshahara wa mwajiriwa ni calculated kwa mtu mmoja tu.Wote wanaextended family mshahara hautoshi either wataiba muda au kupiga dill,rushwa,nk kumudu Maisha.