mama rei
Senior Member
- Jul 31, 2019
- 134
- 168
hahaah u cant be seriousAjiriwa na wewe uone waliponasa wenzio ule mshahara ume calculatiwa kwa kumfaa mtu mmoja sio familia.
hahaah u cant be seriousAjiriwa na wewe uone waliponasa wenzio ule mshahara ume calculatiwa kwa kumfaa mtu mmoja sio familia.
Mkuu umewaza nini mpaka ukasema hvyo?yaani umeongea point ambayo sijawah kuiwaza
....ule mshahara ume calculatiwa kwa kumfaa mtu mmoja sio familia.
Ni Sawa.Hakuna cha bure duniani. Ukiona hivyo wanapozwa machungu ya kulipwa mishahara duni.
Kumwambia mtu ambaye ana mshahara duni kapumbazwa na ajira kwa sababu hajajenga nyumba ni kumtia chumvi katika donda lake la mshahara duni.Ni Sawa.
Maana Kunawanaopewa Mishahara Duni Vile Vile Lakini Hawana Favor Hiyo.
Duh.Kerege nayo ndio wapi iko hiyo??Kujenga Kerege na kuishi kerege na shughuli zako ni kariakoo hayo no matumizi mabovu ya akili.
Hata kama hujaajiriwa na umeanzisha ajira yako mwenyewe basi tambua ya kwamba wateja wako ndo ajira yako na hao ndio waajiri wako ndo maana kila siku unapambana ili kuhakikisha unawaridhisha waajiri/wateja/mabossi wako
Majibu ya kinachosababisha ni mawazo finyu yanayopatikana hapaUnakuta mtu ameajiriwa kila mwisho wa mwezi anapokea mshahara, kila katikati ya mwezi anapokea posho, anaishi kwenye nyumba za serikali.Umeme bure na Maji bure.
Amefanya kazi miaka yote na umebaki mwaka mmoja kustaafu, hana kiwanja wala nyumba alojenga kipindi cha ajira miaka yote Hata nyumba alonunua (maybe kujenga ni process)
Vipi kwa walijenga kibamba kazi postaKujenga Kerege na kuishi kerege na shughuli zako ni kariakoo hayo no matumizi mabovu ya akili.
Bora Mara ya hawa wa Kibamba, wana fursa nyingi na jografia yao ya kufika mjini kati haina shida, kuna option ya kupitia maramba mawili kinyerezi, Tabata unaingia town, hawa pia wana access ya mwendokasi. Kibamba is okey ingawa bado ni parefu.Vipi kwa walijenga kibamba kazi posta
Naomba niingilie uhuru wako hapa mkuu. Kama alivosema Mr hapo juu kuwa ukiwa umejiajiri, basi jua kuwa wewe muajiri wako hapo ni mteja.Ndio lkn still decision nafanya mimi...wapo mbele yangu...hakuna mtu nyuma yangu wa kunipelekesha
sure bro for 100%Ajiriwa na wewe uone waliponasa wenzio ule mshahara ume calculatiwa kwa kumfaa mtu mmoja sio familia.
Kumbuka hapa tunazungumzia ujenzi wa mahala pa kujihifadhi.Kumwambia mtu ambaye ana mshahara duni kapumbazwa na ajira kwa sababu hajajenga nyumba ni kumtia chumvi katika donda lake la mshahara duni.
Sasa walimu na askari ni watu wa kuwalaumu kwa sababu hawajajenga?
Kwa mshahara gani wanaolipwa?
Mamilioni ni milioni mbili na kuendelea.Kumbuka hapa tunazungumzia ujenzi wa mahala pa kujihifadhi.
Hatuzungumzii Nyumba za mamilioni
Jenga Hata "Slope House"Mamilioni ni milioni mbili na kuendelea.
Nyumba gani utajenga chini ya shilingi milioni mbili?
Hata banda la maana la mbao tu tabu kwa bajeti hiyo.
Usini address mimi kama mimi sijajenga.Jenga Hata "Slope House"
Banda, Then laza Mabati.
True ukiwa mwajiriwa yatakiwa uwe fukara ombaomba ukiwa kinyume lzm uletewe tume,ndo lengo la formu za kujaza mali ulizonazo ukiwa mtumishi utakiwi kuwa na Maisha bora uhujumu uchumi utakuhusu.Uzalendo ni kuwa masikini.Tatizo ukijenga hawachelewi kukufata kuwa ni mwizi
Finali uzeeni ndo majuto hasa ukikaa mda mrefu baada ya kustaafu ukisubiria kwenda makao mazuriEti wanasema kujenga nyumba yako binafsi ni uoga wa maisha. Kazi ya kujenga nyumba ni ya NHC.
Wanamalizia kwa kusema ''mbinguni kuna makao mazuri sana''.