Nini hasa kinawapumbaza waajiriwa?

Nini hasa kinawapumbaza waajiriwa?

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,244
Unakuta mtu ameajiriwa kila mwisho wa mwezi anapokea mshahara, kila katikati ya mwezi anapokea posho, anaishi kwenye nyumba za serikali.Umeme bure na Maji bure.

Amefanya kazi miaka yote na umebaki mwaka mmoja kustaafu, hana kiwanja wala nyumba alojenga kipindi cha ajira miaka yote Hata nyumba alonunua (maybe kujenga ni process)
 
Hao ni wale walioajiriwa kipindi cha zamani sasa hivi kila kijana akipata ajira lazima atake kiwanja, ndinga kali, kuanza ujenzi na kuhamia kwake..pitia uzi wa mkuu mmoja anaekaa Kerege hahaha
 
Ni kweli ndugu...angalau now days kuna changes...!!cku hzi vijana tumeamka
Hao ni wale walioajiriwa kipindi cha zamani sasa hivi kila kijana akipata ajira lazima atake kiwanja, ndinga kali, kuanza ujenzi na kuhamia kwake..pitia uzi wa mkuu mmoja anaekaa Kerege hahaha
 
Ukipata ajira leo kesho yake anza process za kustaafu,yaan ishi as if unastaafu mwezi ujao..ukisema nimesoma kwa tabu nimeishi kwa shida kabla sijapata kazi sasa ni muda wangu wa kujiachia,Umekwisha..hutopata muda wa kusave pesa wala kufanya chochote.kinachowakosti waajiriwa wengi ni kujisahau kwa kudhani kuwa bado wanao muda mrefu wa kufanya maendeleo huku siku zikisogea..

Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Back
Top Bottom