bysange
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 4,456
- 1,565
Hizi picha zinatia simanzi sana ukiondoa ya mhe Deo kama macho yameona vyema,kiukweli hali ya mtanzania wa kawaida si shwari kabisaaa,na hapo ndio kitu wanachojaribu kueleza watoto hawa,kweli hii ni zaidi ya miaka 50 ya uhuru au ni miujiza ya uhuru.Amakweli mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa.