Galllll you are back. Sasa mtu eti kisa nyumba chafu ndo anaenda kucheat. Huko anapoenda kucheat anabeba na nyumba ikasafishwe au?
Umeongea kitu cha msingi sana. Ndoa imekuwa kama ni ya mwanamke tu na sio ya watu wawili. Mwanamke ukilegea tu, mume anahamia nje. While mume akilegea mwanamke unatakiwa maombi na kila kitu. Ndoa inahitaji ni continous efforts between wanandoa. Unfortunately tangu binti yupo mdogo anafundishwa kuwa binti mwema kwa ajili ya Ndoa na anaaminishwa kuwa bila ndoa she is incomplete unlike men. Emphasize ya ndoa ingekuwa inawekwa kwa wanaume pia tangu wakes wadogo, Leo tungekuwa na wanaume wanaotunza na kujali na kuheshimu ndoa zao, wasiochoka kutafuta solution ya matatizo ndani ya ndoa zao? Mwanamke anatakiwe amuombee mumewe, but je si mwanaume ndo anatakiwa awe kiongozi wa maombi kwenye familia yake?