Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Haha eti akirudi mpe shamra shamra. Usipojali tabia zake za ajabu ndo unaitwa mke mwema eti, umekomaa kwa ndoa. Me vitoto vyangu vya kiume ntavifundisha mapema, kikikosea tu nakiambia "wewe ndoa itakushinda, wanawake watakukimbia teh", maybe na wenyewe wataona umuhimu wa kutunza ndoa zao tangu wakiwa watoto.
Mtu unakaa nyumbani umejituliza, mtu anakuja kukuletea magonjwa yake na mibalaa yake huko nje bure bure kama msaada wa watu wa Marekani khaa. Afu mtu akisema ameshindwa ndoa anaonekana hafai kwa jamii. No wonder hata thamani ya ndoa imeshuka
😀 msaada wa watu wa marekani.

yani wanatutayarisha kisaikolojia kabisa kudeal na dhambi zao za makusudi. kaachika. ndoa imemshinda. we ndo make mwema.

mie nashukuru nimelea magentlemen ya ukweli lakini ndo hivyo you'll have to split the bill .

kwa kweli sikumbuki kabisa majina ya wadogo wangu manake nilikuwa nawaita mizigo tu. wee mzigo njoo utoe socks zako hapa. hapo mama katoka kuniambia mie ndo nitoe kisa wanaume hawatoagi socks sebuleni. yani kwenye DNA yao kuna sehemu inasema kabisa USITOE SOCKS.

unless men learn to take their families seriously and stop entertaining their lusts, tunakoelekea kubayaa... hakuna wa kudeal na mateso ya hivi siku hizi kabaki Heaven Sent peke yake mumuwahiii
 
Hahaha you so nuts, eti kabaki HS peke ake. Aisee I can't put up with such nonsense. I don't give people discounts , I know my worth.
Yes, men have to stop entertaining their lusts. Na wakubali tu kuwa ndoa ni wawili, watatu ni ibilisi. And yes we have to do something concerning malezi ya watoto wa kiume

Hahaaaa! Tena waandamane!
 
We!! Hebu tulia, hujui bado nakusanya posa!
 
Ningemuita ila sitaki kumtonesha vidonda!! Mtoto wa watu hata hachepuki we umekazana na migume gume huko!
(ngoja nimtetee maana pesa yake mekula nyingi, maybe atanisamehe)
Aaah nimekuona ulivyojishaua kule, utayatengeneza mwenyewe
 
Naamini kila mtu ndani ya nafsi yake hutaka kuwa mtu safi n a mwenye tabia nzuri ila kuna sababu zinazojitokeza katika safari ya maisha na kumfanya mtu kubadilika...Mfano uaminifu ndani ya ndoa sasa umekwisha sana kuna rafiki yangu wamekuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 8 ndoa yenye furaha na amani tele alikuwa akimuamini mke wake haswa na alijitahidi kumtimizia mahitaji ya yule mke kwa kadri ya uwezo wa jamaa...Balaa imekuja kama week 2 zilizopita amegundua mke wake anachepuka na jamaa mmoja na taarifa za awali zimeonyesha huyo jamaa alijuana na huyo mke kwenye Facebook..Jamaa ameumia sana na hajamuambia kitu mke wake mpaka sasa aakusanya ushahidi wa kutosha kwanza..
 
Teh me naomba niongee ukweli shubiri. Seems like wanawake wengi wameshakubaliana kuwa mwanaume lazima acheat (luckily I ain't one of them). Wanaotakiwa kuukubali ukweli huu sasa hivi ni ndugu zetu wanaume. Binadamu wote hatujaumbiwa kuridhika, ni vile tu inafika stage mtu unasema "Mungu hii ni ndoa yangu, ni zawadi yangu, nitaifurahia na kuitunza no matter what, Mungu unisaidie" full stop. Otherwise huwa nacheka kwa huruma mnapodhani Kuwa kucheat ni nature yenu, while you expect your wives to be faithful, were women born faithful NATURALLY? Hell no... Wanawake wanacheat vizuri tu, kasoro ni kwamba wao wanafanya kisirisiri, coz kwa jamii yetu mwanamke kucheat ni taboo eti. Ila uzuri Mkemia mkuu hana siri teh teh

Kama unaona kucheat sio dhambi ni haki yenu according to nature, basi usione ajabu mkeo akicheat coz dhambi haina jinsia. Na kama nyie kucheat ni sawa je mnacheat na nani? sio na wanawake hao hao mnaotaka wawe waaminifu ama? Hata sisi hatujaumbiwa kuridhika, hata kama tutaolewa na malaika. Tunakutana na majaribu mengi mno kutoka kwa wanaume wa nje, bora hata nyie ambao mnajitafutia majaribu, yani sisi matongozo kedekede afu mazitooo khaa. Mkishakuwa honest to yourselves, kama ambao baadhi ya wake zenu wanawakumbusha mtumie kinga huko nje, na nyie wakumbusheni wake zenu wakatumie kinga. Maana apart from magonjwa hakuna kitu kinachomuuma mwanaume kama kulea watoto wasio wako unknowingly . Ingekuwa wanawake hawacheat, ile 49% ( nahisi aliipunguza tu) ya mkemia mkuu isingekuwepo kabisa. You wanna be on the safe side, kuweni na hofu ya Mungu, kuweni waaminifu kwa viapo mlivyoapa kwa Mungu na kwa wenzi wenu. Sio guarantee ya Kuwa hamtoanguka, but hata ukianguka utajutia, utaumia na kuugua na kunyanyuka upya kwa nguvu simply because hutaki kuishi kwa kumkosea Mungu. Ni mawazo yangu tu ya asubuhi teh

Gelofriend Evelyn Salt upo kweli teh
haya uliyosema ni kweli tupu, tena yanauma
 
Naamini kila mtu ndani ya nafsi yake hutaka kuwa mtu safi n a mwenye tabia nzuri ila kuna sababu zinazojitokeza katika safari ya maisha na kumfanya mtu kubadilika...Mfano uaminifu ndani ya ndoa sasa umekwisha sana kuna rafiki yangu wamekuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 8 ndoa yenye furaha na amani tele alikuwa akimuamini mke wake haswa na alijitahidi kumtimizia mahitaji ya yule mke kwa kadri ya uwezo wa jamaa...Balaa imekuja kama week 2 zilizopita amegundua mke wake anachepuka na jamaa mmoja na taarifa za awali zimeonyesha huyo jamaa alijuana na huyo mke kwenye Facebook..Jamaa ameumia sana na hajamuambia kitu mke wake mpaka sasa aakusanya ushahidi wa kutosha kwanza..

Hapo sasa inakuwa kizungumkuti. Case kama hizo nimeziona sana. Utakuta mume Au mwanaume katulizana tulii halafu kumbe mwanamke kicheche
Wengine ndio hapo nao wanaona ebo isiwe tabu na anaanza kuwapanga wanawake kama trophies
 
Ila inahitajika nguvu ya ziada kushinda ibilisi wa kusaliti.....kula chakula cha aina moja kila siku sio kazi ndogo. Yaani ugali kila siku lazima siku moja utatamani hata wali wa nazi kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: irk

Similar Discussions

Back
Top Bottom