jamani kwanza angalieni idadi ya wanawake na wanaume,ukipata jibu rudi kwenye swali kwanini wanaume wana`cheat,jibu litakuja kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume,pili tukiwa waaminifu kila mmoja kwa mwenzi wake hao wanawake watakaobakia watahudumiwa na nani?tatu maumbile ya mwanaume kiasili akishawaza yale mambo hata kwa kuangalia picha tu,network lazima ipande,na ikipanda wakati mke ashakuudhi hela mmepanga mkanunue bati yeye anasema mkanunue keki kubwa ya birthday,hamu inapotea na hasira juu unaamua utoke ukapate mvinyo kidogo,kwenye mvinyo nako kila mhudumu ana chura wa haja,tena bibie hana noma,unamuachaje kwa mfano?Tena hapo kibao una geuziwa wewe
Wakudeal naye ni mumeo, he is your business. Tena wanaume wengine anadanganya kabisa kuwa hajaoaNi kweli maana mchepuko na wao umetongozwa ila m nasema unajua kabs that is my husbnd so kwnn uwe naye karib sana that way?
huyo husband moto wa jehanam unamhusu![]()
![]()
![]()
Hlafu yakishazeeka ndio yanajifanya kurudi kwa wake zao kurudisa majesh upya
Mimi ilifikaga wakati najitilisha huruma mpaka napewa mzigo af naperform vzr sana baadae naambiwa nisirudie at nasamehewamawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.



Hahaha hawa viumbe wana hatari hawaWakudeal naye ni mumeo, he is your business. Tena wanaume wengine anadanganya kabisa kuwa hajaoa
Jamani hata wanaume pia huwa yanatukuta haya mnayo yalalamikia. Hii sio kasumba ya jinsia moja tu.
Namuonea hurum mkeojamani kwanza angalieni idadi ya wanawake na wanaume,ukipata jibu rudi kwenye swali kwanini wanaume wana`cheat,jibu litakuja kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume,pili tukiwa waaminifu kila mmoja kwa mwenzi wake hao wanawake watakaobakia watahudumiwa na nani?tatu maumbile ya mwanaume kiasili akishawaza yale mambo hata kwa kuangalia picha tu,network lazima ipande,na ikipanda wakati mke ashakuudhi hela mmepanga mkanunue bati yeye anasema mkanunue keki kubwa ya birthday,hamu inapotea na hasira juu unaamua utoke ukapate mvinyo kidogo,kwenye mvinyo nako kila mhudumu ana chura wa haja,tena bibie hana noma,unamuachaje kwa mfano?
ku`cheat hatuwezi kuacha,akina dada kunyweni tu sumu kwa kweli...
The same way hata sisi hatuwaamini wanawake kabisa especially mke, girlfriend. Huwa tuna ambiana ishi na mwanamke kwa akili kwa sababu anaweza kukushangaza ukafa kabla ya siku zako hasa kwenye ishu ya uaminifu.Nyie mmezdi na ndio source
Mwanamke kusahau majukumu yakePoleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
Wanawake n wachache san na asilimia kubwa anakua forcedThe same way hata sisi hatuwaamini wanawake kabisa especially mke, girlfriend. Huwa tuna ambiana ishi na mwanamke kwa akili kwa sababu anaweza kukushangaza ukafa kabla ya siku zako hasa kwenye ishu ya uaminifu.
So the feeling is mutual dada
Ujue wanaume wengine wanatafutaga tu excuse za kucheat. Sio rahisi kumpata mke/mume aliyekamilika 100%, vitu vingi tunacompromise. Na kwenye ndoa kubebeana madhaifu ni lazima (ila usihatarishe tu maisha yako). Na kama ni udhaifu umeonekana mapema kabla ya ndoa, basi jiulize Kwa kina "huu udhaifu ntaweza kuishi nao", toa mawazo ya kuwa "aah atabadilika tu"mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
That is it sis. Some of us are born too polite.Ujue wanaume wengine wanatafutaga tu excuse za kucheat. Sio rahisi kumpata mke/mume aliyekamilika 100%, vitu vingi tunacompromise. Na kwenye ndoa kubebeana madhaifu ni lazima (ila usihatarishe tu maisha yako). Na kama ni udhaifu umeonekana mapema kabla ya ndoa, basi jiulize Kwa kina "huu udhaifu ntaweza kuishi nao", toa mawazo ya kuwa "aah atabadilika tu"
Ikifika kwenye ndoa na unakuta2 mwenzako ana udhaifu fulani, ongea naye time to time, ikishindikana kabisa basi ubebe tu ule udhaifu wake. Mtu anakwambia mke wangu haniwekei maji ya kuoga asubuhi, so nimeamua kuchepuka khaaa. Huko kwa mchepuko unaenda kutafuta mtu wa kukuwekea maji bafuni au una yako? Kuwekewa maji bafuni ndo unazaa na watoto kabisa jamaniiiiii? Umeona mkeo habadiliki na hilo, kwa nini usijiwekee maji wewe mwenyewe kwa style unayoitaka kuepusha mafarakano? Hatujui kuappreciate wanayotutendea wenzi wetu, tunaconcentrate na pungufu moja tu. Kama kuwekewa maji ni muhimu kuliko yote anayokufanyia mkeo basi muache, hamia huko unapowekewa maji shaa
May be japo naona hapa tulipofika sasa zile pingu za mpenzi mmoja zimelegea sana kwa jamii zote duniani. Hata ndani ndoa watu hawajitoi sadaka kama zamani kiasi cha kuvumilia yote ya shida na raha. Mtu akizingua au zinguliwa tu anajitoa.Wanawake n wachache san na asilimia kubwa anakua forced
shemeji zako pia,rafiki wa mumeo au boyfriend wako nao wanakuonea huruma the same way unavyomuonea huruma madame wangu!Namuonea hurum mkeo
Nimempangia ratiba ya kujamiiana, hataki kuifuataHiyo ni hulka ya wanaume wameumbwa hivyo hata
iweje hata uwe unampa kila siku atatoka tu, hata ulale umembeba usiku kucha haisaidii.
mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
