Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Relationship inawez ikawa strong na y muda mrefu lakn these guys they dont appreciate thats all i can say
Yah sometimes you have to accept that people can change. Hapa ndiyo unakuta mama zetu wamekuwa wenyeviti wa Jumuiya, WAWATA, fellowship, kumbe ni kutafuta kitu cha ku muoccupy.
 
H
Teh usishangae ukageuziwa kesi "kwa nini unanichunguza"
haahahaha tena anakwambia aliyekwambia ushike sim yangu nani
Hivi nin cha kufanya jamani maana nina uhakika asilimia kubw y wanawake yanatukumba haya majanga
 
mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
Ewwwaaaaahhhhhh........
 
Yah sometimes you have to accept that people can change. Hapa ndiyo unakuta mama zetu wamekuwa wenyeviti wa Jumuiya, WAWATA, fellowship, kumbe ni kutafuta kitu cha ku muoccupy.
Hahahahaha point taken
Haahaha kwakweli itabdi uvumilivu ,muda mwingine nakumbuka story ya @lara1 yule maria unatamani uwe kama yeye sema uvumilivu n kipaji
 
H

haahahaha tena anakwambia aliyekwambia ushike sim yangu nani
Hivi nin cha kufanya jamani maana nina uhakika asilimia kubw y wanawake yanatukumba haya majanga
Yaani hapo ukifikiria miaka uliyopoteza kuwa na nae, inatia hasira kwa kweli.
 
Hahahahaha point taken
Haahaha kwakweli itabdi uvumilivu ,muda mwingine nakumbuka story ya @lara1 yule maria unatamani uwe kama yeye sema uvumilivu n kipaji
Where is Lara1, she is much missed in here😀😀😀😀
 
Hiyo ni hulka ya wanaume wameumbwa hivyo hata
iweje hata uwe unampa kila siku atatoka tu, hata ulale umembeba usiku kucha haisaidii.
Hahahahaa yaani hata ulale umempakata kesho asubh anarud kulekule hahaaha
 
We acha tu, halafu labd mna mtoto hapo ndio mawazo juu ya mawazo
That is even better, you focus on your child. Give the child all the attention, hata akiwepo you just ignore him.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Sometimes influence from outside can cause tension in the house(the in laws), hii inategemea pia how strong is the love between two of you.
Sio tu love Kati yenu, itategemea pia na msimamo wa wanandoa, especially mwanaume. Kuna wanaume anakupenda, ila decisions zote wanamfanyia mama na dadaz
 
Mmmh me navyoona wanawake wengi ni kama wameshakubaliana na hali ya uchepukaji, hawajali eti
Hahaa unafikiri what next?n kukubali tu you just play your part only!
Yaan ukisema ugombane na hao wanawake haisaidii cz wao hawana makosa,hilo janaume hata usemw ulie mwaka mzima ndio kwanza idad ya michepuko inaongezeka
 
1. UKIMWI hautuombei.
2. Dignity, how do you feel keeping your self for a man who you know is not faithful to you?
3. Aamue akueleze that this is an open relationship.
 
Yaani tukiwa nao ndani ndo wetu akitoka wala sio wako.
We acha inauma lakin,jitu umesota nalo miaka yote hyo halafu mnakuja ku sharw kwwnye matunda
Ila what goes around comes around kama ww mwanamke unajua kabs huyo n mume w mtu still unacheat naye ipo siku itafik utaolewa na wewe na yatakukta the same and a half
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom