Nini atakujibu mwanamke aliyekuchoka?

Nini atakujibu mwanamke aliyekuchoka?

Kuna Chupi Flan Niliidandia siku iliponichoka...Ilikuja magetoni kwa fujo then ikashka kiuno kama inanisuta flan hv ikaanza tema cheche

Daaah!!!! Sikuwah taka kuweka record ya kumpga mdada ila kwa huyu yalinishinda Alirud kwao siku 9 badae Akitokea Hospital.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana Mkuu nimeongea tuu Alhamdulillah mpaka sasa mambo safi,na usisahahau kua mimi pia nafanya kazi na nashukuru mwenyezi mungu nimejitahidi sana na mwenyezi mungu amenisaidia kuweka japo viji mambo flani sawa na sie ni wale wanaosubiri mshahara ili tufanye yetu na mwenyezi Mungu ni mwema anazidi kutuongoza,huyu Mume nampenda sanaaa
nampenda kwa mengi nimemzowea sanaa na amenizowea ni rafiki yangu Dad wa watoto wangu mlezi mwenzangu na ndio pumbazo la moyo wangu,ananielewa sanaaaa juu ya mapungufu nilonayo lakini still ananisifia kua ni mama bora kwa watoto wetu ,namuomba mwenyezi mungu ampe afya na umri mrefu atupe masikizano tulee watoto wetu tuone wajukuu zetu Ameen...
Ameen,mbarikiwe.
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...

hahaha huku sura umeikunja unavyomwangalia kama unaangalia kinyesi cha binadamu
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
hivi kwenye line ya pili wapo eeeh, nahis iko kwa wanawake tu.

eti mwanaume nyuma atingisike? how sielewi mie jaman au?
 
Asprin njoo pande hii utuambie ulijibiwaje siku ile Fyatanga pale
Hommie, ukishamtangulizia Savannah kadhaa na pande la nyama ya mbuzi, ukamtupia MPesa kwa ajili ya kukata hang'over asubuhi... utashangaa tu unaambiwa "baby, ulikuwa wapi siku zote?" Ili kudumisha sera za chama unampakia kwenye bajaji yako ili umrudishe kwake...

Kabla hajafika unampitisha MashMash nyumba ya wageni... unaandikisha jina: Mtambuzi. Kazi: mkulima, atokapo: Dsm, aendako: Dsm, Tarehe ya kuingia: Leo saa 10jioni, ya kutoka: Leo saa 12 jioni..

Baaas.

Hii inaweza kuthibitishwa na Mentor na KakaKiiza kuwa ni ukweli mtupu tena usio na shaka.
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...

Chinekeeeee...

Afukunalamanairayaaaa... Igweeeee....!!!

Kheee....!!!
 
ht wanaume wanaaambiwa hvyo!
kulikua na mpangaji wetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] akianza mtukana mmewe loohh!utablow mapigo!

Ila mpk Leo wapo pamoja japo hapa wamehama
hivi kwenye line ya pili wapo eeeh, nahis iko kwa wanawake tu.

eti mwanaume nyuma atingisike? how sielewi mie jaman au?
 
ht wanaume wanaaambiwa hvyo!
kulikua na mpangaji wetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] akianza mtukana mmewe loohh!utablow mapigo!

Ila mpk Leo wapo pamoja japo hapa wamehama
😉🙁
 
Hommie, ukishamtangulizia Savannah kadhaa na pande la nyama ya mbuzi, ukamtupia MPesa kwa ajili ya kukata hang'over asubuhi... utashangaa tu unaambiwa "baby, ulikuwa wapi siku zote?" Ili kudumisha sera za chama unampakia kwenye bajaji yako ili umrudishe kwake...

Kabla hajafika unampitisha MashMash nyumba ya wageni... unaandikisha jina: Mtambuzi. Kazi: mkulima, atokapo: Dsm, aendako: Dsm, Tarehe ya kuingia: Leo saa 10jioni, ya kutoka: Leo saa 12 jioni..

Baaas.

Hii inaweza kuthibitishwa na Mentor na KakaKiiza kuwa ni ukweli mtupu tena usio na shaka.

NIMEOKOKA.

Cc: Kaizer, KakaKiiza
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
kinena ndio nn
 
Huyo atakuwa sio mme wako haya maneno mazito.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom