Nini atakujibu mwanamke aliyekuchoka?

Nini atakujibu mwanamke aliyekuchoka?

Hakuna mtu anaechefua roho kama mwanamke akishakuchoka,ukimwambia Nakupenda mke wangu atakubenulia midomo huyo ndio kakustahi,akitoka hapo anamwambia shogake huyu kichefuchefu asojua hata kupiga mswaki na kuoga akatakata na kitanbi chake nae anantia mkosi asubuhi hii kunambia ananipenda hata sijui nna kimavi gani lol...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kabla hajamaliza hiyo sentensi yakwanza nitam "render unconscious"
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hujakutana na waume bwege kaka
hawajibu chochote..

unatukanwa hayo madogo matusi ya nguono yote Ila ht kopr hunyanyui..

wabaki kumtazama tu!tena akitoka pale waenda kumuomba msamaha yy
 
Atakaa kimya tu huku akipotezea ulichosema.
Akikustahi atakujibu 'ahsante'...kavu huku akikwepesha macho.
Akiamua kukufungukia atakujibu "Bwana weee!,utajua mwenyewe!..kupendwa Bongo''...kwa sauti ya kugugumia na kukera ila jibu litakuingia barabara...
 
Mme: "Nakupenda mke wangu."
Mke:"Hata mi nahisi nakupenda, ukirudi uje na faru John"
Mme: "Lakini mke wangu serikali yenyewe haijampata hadi leo."
Mke: "Usiporudi naye mimi na wewe basi."

Hapo jua umechokwa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu mnamaneno!!
 
Hakuna mtu anaechefua roho kama mwanamke akishakuchoka,ukimwambia Nakupenda mke wangu atakubenulia midomo huyo ndio kakustahi,akitoka hapo anamwambia shogake huyu kichefuchefu asojua hata kupiga mswaki na kuoga akatakata na kitanbi chake nae anantia mkosi asubuhi hii kunambia ananipenda hata sijui nna kimavi gani lol...
Hahaha we kiboko
Mme: "Nakupenda mke wangu."
Mke:"Hata mi nahisi nakupenda, ukirudi uje na faru John"
Mme: "Lakini mke wangu serikali yenyewe haijampata hadi leo."
Mke: "Usiporudi naye mimi na wewe basi."

Hapo jua umechokwa.
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
Manaume mbele huchezi nyuma hutikisiki dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....umenifanya nicheke

Ndio majibu yako unayo watolea nn?
 
Bora nidese mistari manake kuna mtu nimemchoka nataka kumpasulia[emoji 17]
 
Mme: "Nakupenda mke wangu."
Mke:"Hata mi nahisi nakupenda, ukirudi uje na faru John"
Mme: "Lakini mke wangu serikali yenyewe haijampata hadi leo."
Mke: "Usiporudi naye mimi na wewe basi."

Hapo jua umechokwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manaume mbele huchezi nyuma hutikisiki dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....umenifanya nicheke

Ndio majibu yako unayo watolea nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akkaahh!!
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
hahahahaahahahaa..... mna maneno nyie......duh...
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...

Mmmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom