Hommie, ukishamtangulizia Savannah kadhaa na pande la nyama ya mbuzi, ukamtupia MPesa kwa ajili ya kukata hang'over asubuhi... utashangaa tu unaambiwa "baby, ulikuwa wapi siku zote?" Ili kudumisha sera za chama unampakia kwenye bajaji yako ili umrudishe kwake...
Kabla hajafika unampitisha MashMash nyumba ya wageni... unaandikisha jina:
Mtambuzi. Kazi: mkulima, atokapo: Dsm, aendako: Dsm, Tarehe ya kuingia: Leo saa 10jioni, ya kutoka: Leo saa 12 jioni..
Baaas.
Hii inaweza kuthibitishwa na
Mentor na
KakaKiiza kuwa ni ukweli mtupu tena usio na shaka.