Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,379
- 56,095
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]Yote haya?
Wanaume tuna kazi nzito mno..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]Yote haya?
Wanaume tuna kazi nzito mno..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
Daah mrembo,umeyajuaje hayo? au ndio kusema shemeji yetu kaanza kufulia nini?,maana kufulia nako nuksi,maana anaamka na stress,madeni kibao,mwenye nyumba katoa notice,gari bovu na pesa za service hana,kazi kafukuzwa,kipindi hiki cha utawala wa kukurupuka hope hakuna,unafikiri ataweza hata kupiga mswaki asubuhi?,coz hata chai ya rangi nyumbani hakuna,wewe mrembo ulizoea designer hand bags na unlimited spending,mara kila kitu kimekata,daaah hapo ndio mwanaume anapokumbuka ule msemo;;;;;;"FULIA UJUE TABIA YA MKEO",na mimi nasema sawa acha wanaume tushike adabu zetu bhana au vipi,maana tukipata mapesa tuna waspoil wanawake zetu,wanawake ni kama ice,wanataka baridi wakati woooote,likija jua wanayayuka na kutiririka kwenye mifereji ya maji machafu tena hawana budi au kuweza kujizuia,wanatumbukia kwenye mitaro ya maji taka na kujichanganya au vipi,so ili mwanamke atulie na kukupenda,wanahitaji barafu ya moyo(pesa),ili wagande na wakugande tu,hata ukiwanyanyasa vipi watakuganda tuuu baby.Hakuna mtu anaechefua roho kama mwanamke akishakuchoka,ukimwambia Nakupenda mke wangu atakubenulia midomo huyo ndio kakustahi,akitoka hapo anamwambia shogake huyu kichefuchefu asojua hata kupiga mswaki na kuoga akatakata na kitanbi chake nae anantia mkosi asubuhi hii kunambia ananipenda hata sijui nna kimavi gani lol...
Geni,sasa nafanyaje baby?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] neverNapata picha unanijibu hivyo...
Hapana Mkuu nimeongea tuu Alhamdulillah mpaka sasa mambo safi,na usisahahau kua mimi pia nafanya kazi na nashukuru mwenyezi mungu nimejitahidi sana na mwenyezi mungu amenisaidia kuweka japo viji mambo flani sawa na sie ni wale wanaosubiri mshahara ili tufanye yetu na mwenyezi Mungu ni mwema anazidi kutuongoza,huyu Mume nampenda sanaaaDaah mrembo,umeyajuaje hayo? au ndio kusema shemeji yetu kaanza kufulia nini?,maana kufulia nako nuksi,maana anaamka na stress,madeni kibao,mwenye nyumba katoa notice,gari bovu na pesa za service hana,kazi kafukuzwa,kipindi hiki cha utawala wa kukurupuka hope hakuna,unafikiri ataweza hata kupiga mswaki asubuhi?,coz hata chai ya rangi nyumbani hakuna,wewe mrembo ulizoea designer hand bags na unlimited spending,mara kila kitu kimekata,daaah hapo ndio mwanaume anapokumbuka ule msemo;;;;;;"FULIA UJUE TABIA YA MKEO",na mimi nasema sawa acha wanaume tushike adabu zetu bhana au vipi,maana tukipata mapesa tuna waspoil wanawake zetu,wanawake ni kama ice,wanataka baridi wakati woooote,likija jua wanayayuka na kutiririka kwenye mifereji ya maji machafu tena hawana budi au kuweza kujizuia,wanatumbukia kwenye mitaro ya maji taka na kujichanganya au vipi,so ili mwanamke atulie na kukupenda,wanahitaji barafu ya moyo(pesa),ili wagande na wakugande tu,hata ukiwanyanyasa vipi watakuganda tuuu baby.
Wewe huyo kiumbe imekatazwa kumtaja,Mme: "Nakupenda mke wangu."
Mke:"Hata mi nahisi nakupenda, ukirudi uje na faru John"
Mme: "Lakini mke wangu serikali yenyewe haijampata hadi leo."
Mke: "Usiporudi naye mimi na wewe basi."
Hapo jua umechokwa.
Ni mfano tu Afande.Wewe huyo kiumbe imekatazwa kumtaja,
Haya tunakuhitaji Porishi Sentero ya kati.
...,huyu Mume nampenda sanaaa
nampenda kwa mengi nimemzowea sanaa na amenizowea ni rafiki yangu Dad wa watoto wangu mlezi mwenzangu na ndio pumbazo la moyo wangu,ananielewa sanaaaa juu ya mapungufu nilonayo lakini still ananisifia kua ni mama bora kwa watoto wetu ,namuomba mwenyezi mungu ampe afya na umri mrefu atupe masikizano tulee watoto wetu tuone wajukuu zetu Ameen...
Umesoma jina la MwenyeUzi lakini?Huyu jamaa akijua jinsi anavyopendwa atatembea kifua mbele. yayayayayayayaya dah yaani huyo ndugu atambe tu siyo kwa hizi sifa.
Duuh aisemxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!
mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...
najuta kuwa na kifurugobe km wewe..
katika wanaume weewe mwanaume looihh!!
wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!
ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
[emoji13] [emoji13]Duuh aise
Nini atakujibu kwa yule Mwanamke alie Kuchoka wakati Umemtamkia Nakupenda Mke Wangu.
hii inatokea sana km hujamzoeshawacha tu nliwahi mwandikia wife MAMY NAKUPENDA WEWE NI KILA KITU KWANGU MAMA WA WANANGU aloo alinijibu haraka mbayaaa wewe baba nanii umekosea text ? hebu angalia vizuri
hii inatokea sana km hujamzoesha
Hivi unaweza kweli kuyatamka maneno hayo kumbwambia mumeo[emoji134] [emoji134] [emoji134]mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!
mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...
najuta kuwa na kifurugobe km wewe..
katika wanaume weewe mwanaume looihh!!
wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!
ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ninyi ndo mnafanya tusijiaminiHii hutokea hasa nikiwa kwenye mood naamua mfurahisha lololololo anahis kabisa umekosea kuna siku tena namwagilia ukuta yeye yuko kitchen nikamchokoza WARID WA MOYO WANGU NIMEMISS MAMBO YAKO akazima majiko kaja speed baba nanii naomba sim yako mara moja hakuamin ni yeye
wanawake mara nyingi hamjiamin
mm siwezi ht km simtakije!!Hivi unaweza kweli kuyatamka maneno hayo kumbwambia mumeo[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwakweli mtu ambae mlikuwa wapenzi/mke na mume kutamkiana maneno ya hivyo haipendezi jamani hata kama ndio mmechokana chaaah!!!mm siwezi ht km simtakije!!
Ila wapo wanaotukanwa hivi