Dada zangu mnaosumbuliwa na maumivu ya mgongo na hamjui sababu, msaada umefika

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
kwa wale dada zangu ambao wamekua wakipitia kipindi cha kuchoka choka mwili na maumivu ya mgongo pamoja na kuwa na uzito mkubwa wa mwili (unene)

hatua hizi zifuatazo ni tiba tosha na wala huitaji kumeza kidonge cha aina yoyote.

1. Diet (mlo kamili)
swala la kupata mlo kamili ni muhimu kwa kila binadamu, nitatoa maelezo mafupi kidogo kuweka sawa yale ambayo wengi wamekua hawaelewi.
mlo kamili unatakiwa kuwa hiv- ukamilishe sahani yako ya chakula ikiwa imelingana ujao kwa makundi matatu muhimu ya chakula ambayo ni wanga, protein (vyakula vya kujenga mwili), vitamin (mboga mboga na matunda). ukiweka makundi haya vote matatu kwa ujazo sawa katika sahani yako hapa ndio huwa tunapata ugali ngumi yako, pamoja na hayo makundi mawili yakikamilisha sahani ya chakula kwa hakika utashiba na utaweza kustahimili kutoka dinner hadi lunch kupata chakula cha usiku kama maelezo yanavojieleza.
usiongeze vyakula vya sukari nje na sahani yako ya chakula.

2. Exercise (mazoezi) ikiwemo + Sex.
nikiongelea mazoezi sio hadi uende kukimbia na uzunguke uwanja kila siku, hapana
kuna aina nyingi za mazoezi ambayo ukifanya utaweza kujiepusha na matatizo hayo apo juu.
mazoezi hufanya mzunguko wa damu kuwa active na ndio kitu pekee ambacho kitaweza kukuepusha na maumivu ya mgongo usio jua sababu zake, iwekea akili yako active ukishirikiana na watu walio kuzunguka, jitahid kuwa busy, fanya Sex mala 3 kwa week ikiwezekana au zaidi na uchojoe mala moja kila ukifanya sex or more.

Hakika mwili wako utakua active na utajiepusha na stress, magonjwa kama kisukari na kupanda kwa presha ya damu. kwani haya yote hutegemea mzunguko wa damu.

by Dr. Suriya
 
Hapo kwenye sex mara tatu kwa siku hapo!!! Nani huyo wa kukufanya hivyo!!! Hawa hawa wanaopiga dk mbili chali almaarufu wanaume wa daslam???

Na je akiwa mwanaume wa mkoani mara tatu kwa siku kila mzunguko mmoja tufanye unatumia saa moja kwahiyo kila siku masaa matatu ya kufanyana!!! Je kabla ya hapo muda wa maandalizi yake!!!

Maisha mengine ya kila siku yasimame!!! Kisa kutengeneza mwili?
 
Ndo maana mgongo unaniumaaaaa😁😁😁😁.... 3 tyms a week😁😁😁...!
ila kwenye ugali.ngumi Dk lifikirie hilo tena kwakwel...ss hvuak nakula matunda usiku lakini asbh nikiamka nnashikwa sana na njaa..nakaribiaga kukata kauli...sijajua shida nn ....
ila kiukwel nasumbuliwa sana mgongo
 
Hapo kwenye sex mara tatu kwa siku hapo!!! Nani huyo wa kukufanya hivyo!!! Hawa hawa wanaopiga dk mbili chali almaarufu wanaume wa daslam???

Na je akiwa mwanaume wa mkoani mara tatu kwa siku kila mzunguko mmoja tufanye unatumia saa moja kwahiyo kila siku masaa matatu ya kufanyana!!! Je kabla ya hapo muda wa maandalizi yake!!!

Maisha mengine ya kila siku yasimame!!! Kisa kutengeneza mwili?

Hhahaa...mm naumwa mgongo balaa jaman..huenda ni sababu kweli😋😋😋...ngoja tusingizie hilo..ila mgongo usikie kwa jirani tu kapeace
 
kwa wale dada zangu ambao wamekua wakipitia kipindi cha kuchoka choka mwili na maumivu ya mgongo pamoja na kuwa na uzito mkubwa wa mwili (unene)

hatua hizi zifuatazo ni tiba tosha na wala huitaji kumeza kidonge cha aina yoyote.

1. Diet (mlo kamili)
swala la kupata mlo kamili ni muhimu kwa kila binadamu, nitatoa maelezo mafupi kidogo kuweka sawa yale ambayo wengi wamekua hawaelewi.
mlo kamili unatakiwa kuwa hiv- ukamilishe sahani yako ya chakula ikiwa imelingana ujao kwa makundi matatu muhimu ya chakula ambayo ni wanga, protein (vyakula vya kujenga mwili), vitamin (mboga mboga na matunda). ukiweka makundi haya vote matatu kwa ujazo sawa katika sahani yako hapa ndio huwa tunapata ugali ngumi yako, pamoja na hayo makundi mawili yakikamilisha sahani ya chakula kwa hakika utashiba na utaweza kustahimili kutoka dinner hadi lunch kupata chakula cha usiku kama maelezo yanavojieleza.
usiongeze vyakula vya sukari nje na sahani yako ya chakula.

2. Exercise (mazoezi) ikiwemo + Sex.
nikiongelea mazoezi sio hadi uende kukimbia na uzunguke uwanja kila siku, hapana
kuna aina nyingi za mazoezi ambayo ukifanya utaweza kujiepusha na matatizo hayo apo juu.
mazoezi hufanya mzunguko wa damu kuwa active na ndio kitu pekee ambacho kitaweza kukuepusha na maumivu ya mgongo usio jua sababu zake, iwekea akili yako active ukishirikiana na watu walio kuzunguka, jitahid kuwa busy, fanya Sex mala 3 kwa week ikiwezekana au zaidi na uchojoe mala moja kila ukifanya sex or more.

Hakika mwili wako utakua active na utajiepusha na stress, magonjwa kama kisukari na kupanda kwa presha ya damu. kwani haya yote hutegemea mzunguko wa damu.

by Dr. Suriya
Jifukize maji ya moto kwa dka kadhaa utakuwa mzima
 
manengelo ulipotea sasa umerudi sio, maji yachemke sana ifukize funga kila mahali ule mvuke utakuponya maana unapenya kila mahali ila unatakiwa uwe uchi bila chupi na miguu ufungue yote utanambia.

Weww ndo ulipotea...ah km hvyo haya..ila mm weekly naingiaga sauna..ile ndo habari nyingine kwa mvuke ..ila mm mgongo wangu sio uzito...najichetua tu..niliwah kufanya kazi baada ya kujiopen😊
 
Amini hivo,

Sema sijapata muda mzuri wa kuelezea mechanism yake unakuaje hadi unapata maumivu ya mgongo.

Na pia hizo ni tiba za awali na nzuri pia, kama shida itakua kubwa tiba yake huwa na gharama sana kwa kutibu kwa kula vyakula vya gharama sana.
Siamini hizo tiba hapo juu km zinatibu mgongo
 
Kwa week mkuu, sio kwa siku
Hapo kwenye sex mara tatu kwa siku hapo!!! Nani huyo wa kukufanya hivyo!!! Hawa hawa wanaopiga dk mbili chali almaarufu wanaume wa daslam???

Na je akiwa mwanaume wa mkoani mara tatu kwa siku kila mzunguko mmoja tufanye unatumia saa moja kwahiyo kila siku masaa matatu ya kufanyana!!! Je kabla ya hapo muda wa maandalizi yake!!!

Maisha mengine ya kila siku yasimame!!! Kisa kutengeneza mwili?
 
Jitahid sana itakusaidia.

Kama ulikuwepo mbona hukujibu uzi wako niliouona mwezi jana uliukimbia. pole ila ukifanya hivyo kwa mwezi mara moja tu na kwa wiki mara moja kunywa dozi ya maji alfajiri lita 1.5 usiku mwingi kama saa 9 kwa dka 2 yaishe, mchana nusu lita kabla hujala na jioni nusu lita basi inshallah utaona neema.
 
Mkuu inatakiwa kuwa hivi...
Ugali ngumi yako +
Protein (nyama au maharage) ngumi yako. +
Matunda na mboga mboga ngumi yako.

Nahakika ukiweka vyote hivyo sahani itajaa hadi juu.

Na utashiba kabisa ukinywa na maji.
Ndo maana mgongo unaniumaaaaa.... 3 tyms a week...!

Back
Top Bottom