Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Anioe nani na hawa mapacha ulionizalisha?Nahitaji K mpya.
Umeolewa siku hizi?
Anioe nani na hawa mapacha ulionizalisha?Nahitaji K mpya.
Umeolewa siku hizi?
Mkuu hawa viumbe wana tabia wakileta stories zao hapa, wakifika kipengele kama hiki wanakiruka sijui tuelewe vipi?
Lakini dawa zao ni hizo hizo za kukomaa nao watumalizie walipopaacha hahaha.
Mleta mada ndio kakosa hiyo akili ya kujiongeza kwamba anatakiwa kupigwa mambo na maisha yaendelee yaya anaona kapewa uqeenYes mkuu kwa mujibu wa maelezo jamaa na mkewe wanapendana sana tu, mtoa mada ilitakiwa ajiongeze tu kuwa jamaa alichokuwa anataka ni papuchi tu kutoka kwake mengine yote ni maneno tu ya kumchombeza ili aingie kingi.
Anioe nani na hawa mapacha ulionizalisha?
Kabisa mkuu, siku moja moja sio mbaya kuchange mazingira kidogoKulala na kuamka na mtu huyo huyo kila siku sio kitu cha mchezo mchezo aisee. Kuchokana kupo...
Ngoja tuangalie hili move litaishia vipi.Kabisa mkuu, mtu mnaenda mpaka bar mnakunywa mnapata mpaka muda wa kupeana maneno ya mchombezo kumbuka pombe Haina adabu mkuu, hapo kutakuwa kuna kila dalili ya kushushwa mtu sketi au gauni au dera hahahahaha
Basi nisamehe baba wawili usininyime bure matumizi ntafanya nini na watoto hawa mieNdo unitangaze hivo?
Ntakunyima hela za matumizi na sijui utaenda kwa nani......
Najua kwa Bashite huwezi kwenda.
Aisee et mpe nyama asipo jirekebisha unamuambia sikuheshmu na sikutak tena, sasa unafikir mwenzako atajari bas, c kashafumua marinda freshAcheni mambo yenu..kama ndo tabia zenu za kutumia kauli hizo msi-assume wote..huyo jamaa ni mhenga na ana busara sana hajakurupuka kuongea madhaifu anayoyapata kwenye nyumba yake ila tatizo lipo ndo linalompelekea kumuacha mkewe na kwenda kunywa pombe na kupiga stori na mwnamke mwingine..kuna wattu kweli wapo hivo na waakipata mwwanamke ambaye ktk story ana muelekeo wa mwanamke anayemfikiria bac mambo yake yataenda..so nakushauri dada,usimchukulie ki-ushauri wa humu ila za kuambiwa changanya na zako mpea nyama anyamaze uone kama aatafanya maendeleo asipofanya muambie wewe baba sikuheshimu tena kumbe ndo tabia zako achana nae.
Mkuu, mimi sija-promote kutoka nje ya ndoa[emoji16][emoji16] nimesema tu kuwa inachosha mtu huyo huyo kila siku.Kabisa mkuu, siku moja moja sio mbaya kuchange mazingira kidogo
Nimekupata vyema mkuuMkuu, mimi sija-promote kutoka nje ya ndoa[emoji16][emoji16] nimesema tu kuwa inachosha mtu huyo huyo kila siku.
.......na alimpa,ukweli huu hawezi kuuandika.shida ya humu mitandaoni huwa watu wanapunguza ukali wa maneno ili kuficha haiba zao.Huwezi kusema kama ulimpa papa
Huwa inatokea tu hata sijuiHello,
Leo nimekumbuka kisa kimoja cha enzi za ujana wangu,
Niliwahi kumzoea kijana mmoja makamo ya 34years ameoa na ana watoto wawili wale wa jumamosi na jumapili.
Alipenda sana kampani yangu kwakuwa nilikuwa single nami nilipenda pia, akienda mahali lazima aniite 'madam please come or i pick you where you are'.
Wakati namfahamu alikuwa mtu wa bata, hapiki kwake every time mkichat lazima anakula na kunywa bia. Nikajua ana hela zakumtosha kumbe ni hawa watumishi wa kawaida tu. Sasa mi nikiwa napiga story naye tunakula namwambia punguza matumizi makubwa, kula hivi, vile pombe kunywa weekend na not every meal n.k.
Wakija marafiki wengi namwambia hey una family usimnunulie mtu pombe ili mradi kaja kakukuta mwache ale pesa ilomleta bar! Labda yule ambaye mna appointment ya kutoka.
Alivyokomaa serious kunitaka nikaamua kukatisha mazoea. Alilalamika na kulia sana for months!! sana anasema ' Ningepata mwanamke wa aina yako anawaza life, beauty AKANITULIZA NINGEKUWA MBALI SAHIVI.
nikawa namchombeza akiwa amelewa wewe si una mke why umataka kumcheat nakuniahidi utaishi nitakavyo? Utanipa nitakacho kilicho ndani ya uwezo wako???
Anasema tu yule mwanamke wangu namuheshimu sana nimetoka naye mbali, hana makuu kila nimwambialo anakubali hana shida!!
Sasa why hujatulia?? Yupo tu aaahhh umenikatili i thought nimepata mtu nitulize akili!!
Sasa najiuliza nyie wanaume imekuwaje umeoa halafu hujatulia unataka mchepuko akutulizee???
Kumbe ehMkuu, mimi sija-promote kutoka nje ya ndoa[emoji16][emoji16] nimesema tu kuwa inachosha mtu huyo huyo kila siku.
Unapomsaliti tayari heshima haipo tena kwake.Hiyo tafsiri ielewe tu mkuu, unaweza ukawa humsaliti na huna upendo nae wa dhati pia so kumsaliti mtu sio kwamba humpendi mkuu Maisha hayana formula so wacha Maisha yaendelee.
Nani anakamilisha yako?Kwangu naamini tupo ke na me ili kukamilishana mapungufu......
Hatukufika huko. Halafu hawezi ondika nayo ningesema tuHuwezi kusema kama ulimpa papa
Yaani kati ya mitihani tulipewa binadamu basi ni huu aisee.Kulala na kuamka na mtu huyo huyo kila siku sio kitu cha mchezo mchezo aisee. Kuchokana kupo...
Na wewe ulikuwepo. Aliomba mahusiano hakuomba papaa ntampa kumsukumizia au?Alimpa
Inachosha sana Vale...Kumbe eh