Ningepata mwanamke akanituliza ningefanya maendeleo

Ningepata mwanamke akanituliza ningefanya maendeleo

Nafikiri watu wakishaoana kuna vitu sijui huwa vinapwaya!! Kuna ule urafiki unamiss nafikiri ndio maana watu hutafuta hicho kinachomiss nje. Na hii iko kwa wote, wanawake kwa wanaume.
 
Hayo maneno ya kuchombezana mlikuwa chumbani ama Hapo hapo bar?

Ila mwisho wa siku jamaa alikutamani tu na alikuwa na mapenzi ya dhati na mkewe alichotaka kwako ni papuchi tu.

Kuna mada ililetwa hapa kuwa "wanaume tunachepuka sio kwamba hatuwapendi wake zetu lahashaah, tunawapenda sana tu na kuwaheshimu"

Wanaume tumeumbwa na tamaa mtusamehe tu, tunawapenda sana wake zetu na bora ungempa jamaa papuchi angekuwa free sana ukamkatili ni roho mbaya hiyo.
Unaempenda na kumheshimu haumsaliti.
Hiyo tafsiri yenu ya heshima huwa siielewi kabisa.
 
Binadamu tumeumbwa na moyo wa tamaa na kutokuridhika kwahiyo hilo la jamaa kutaka kuchepuka kwako nitamaa zake na kotoridhika na mkwewe....

Kuhusu NINGEPATA MWANAMKE AKANITULIZA NINGEFANYA MAENDELEO...

[emoji121][emoji121] Hiyo ni kauli mbiu ya mtongozo tu ili umuelewe kirahisi na usizidi kumbana kuhusu maswala ya mkewe...
Lakini pia kuna uwezekano hali haikuwa hali ndani, yote yanawezekana.
 
Roger that.

But ukiwa nae, mkashirikiana huenda mkafika mbali.

Akiwa na akili lakini, na mume nae awe nazo za kumtosha.

Oh yeah, it goes without saying that two heads are better than one.

But one can still be successful solo!
 
Atakuwa katukatisha sehemu nzuri sana ya story yake hahahahaha,
Mkuu hawa viumbe wana tabia wakileta stories zao hapa, wakifika kipengele kama hiki wanakiruka sijui tuelewe vipi?
Lakini dawa zao ni hizo hizo za kukomaa nao watumalizie walipopaacha hahaha.
 
Kwamujibu wa maelezo ya mmiliki wa huu uzi sikasena jamaa mkewe hana shida wako poa tu sema shida yake ni mtu wa ndio,

au kuna tatizo gani umeligundua mkuu?
 
Nafikiri watu sakishaoana kuna vitu sijui huwa vinapwaya!! Kuna ule urafiki unamiss nafikiri ndio maana watu hutafuta hicho kinachomiss nje. Na hii iko kwa wote, wanawake kwa wanaume.
Unaempenda na kumheshimu haumsaliti.
Hiyo tafsiri yenu ya heshima huwa siielewi kabisa.
Hiyo tafsiri ielewe tu mkuu, unaweza ukawa humsaliti na huna upendo nae wa dhati pia so kumsaliti mtu sio kwamba humpendi mkuu Maisha hayana formula so wacha Maisha yaendelee.
 
Kwamujibu wa maelezo ya mmiliki wa huu uzi sikasena jamaa mkewe hana shida wako poa tu sema shida yake ni mtu wa ndio,

au kuna tatizo gani umeligundua mkuu?
Yes mkuu kwa mujibu wa maelezo jamaa na mkewe wanapendana sana tu, mtoa mada ilitakiwa ajiongeze tu kuwa jamaa alichokuwa anataka ni papuchi tu kutoka kwake mengine yote ni maneno tu ya kumchombeza ili aingie kingi.
 
Nafikiri watu wakishaoana kuna vitu sijui huwa vinapwaya!! Kuna ule urafiki unamiss nafikiri ndio maana watu hutafuta hicho kinachomiss nje. Na hii iko kwa wote, wanawake kwa wanaume.
Kulala na kuamka na mtu huyo huyo kila siku sio kitu cha mchezo mchezo aisee. Kuchokana kupo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom