Ningepata mwanamke akanituliza ningefanya maendeleo

Ningepata mwanamke akanituliza ningefanya maendeleo

Hapo kakutaka kwa sababu ulikuwa unajioendekeza sana kwake.
Mwanaume akili zake kwenye k ni fupi sana fursa ikitokea anaipiga.
 
Hata ww ukija kuolewa ama kama umeolewa lkn unavyokaa humo ktk huo uhusiano pia unaweza kuja shangaa kwanini wanawake wenzio na hasa hao wachache hawatoki ktk ndoa zao maana yaliyomo yanataka waliomo humo , sisemi haiwezakani kuwa faithful ila huwa ninaamini binaadamu ni myama jamii kwahiyo hii ya kuwa na mtu mmoja au wanne ni utaratibu tu tulio jiwekea kulingana na imani zetu na mipaka ya kijamii tu na kuleta amani miongoni mwetu

Nafikiri kwa mbali unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa

Kama ww upo ktk mahusiano yako na mwenzio labda hakuna mwenye macho juu basi hongera zenu sana lkn kumshangaa mwanaume kukutaka in this age sababu tu ana make tunaweza kukushangaa wewe kwa kushangaa
 
Alivyokomaa serious kunitaka nikaamua kukatisha mazoea. Alilalamika na kulia sana for months!! sana anasema ' Ningepata mwanamke wa aina yako anawaza life, beauty AKANITULIZA NINGEKUWA MBALI SAHIVI.
Madam Mwajuma unasema hakukuomba haya maneno yako hapa yalikuwa yanamaanisha ulimkatalia kitu gani?
 
Alivyokomaa serious kunitaka nikaamua kukatisha mazoea. Alilalamika na kulia sana for months!! sana anasema ' Ningepata mwanamke wa aina yako anawaza life, beauty AKANITULIZA NINGEKUWA MBALI SAHIVI.

.
.
Sasa why hujatulia?? Yupo tu aaahhh umenikatili i thought nimepata mtu nitulize akili!!
.
.
Sasa najiuliza nyie wanaume imekuwaje umeoa halafu hujatulia unataka mchepuko akutulizee???

You believed this nonesense???
 
Halafu eti mnapewa ndoa hadi mnasherehekea 50th anniversary, hivi miaka hamsini mtu huyo huyo tu, Mungu aingilie kati, "papa mpya" ina raha yake.
Ha haha hivi ni wewe kweli? Ama nakufananisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom