Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Kuna muda mtu hawezi kukuelezea kila kitu ila you just read btn the lines unagundua something is wrong somewhere.Kwamujibu wa maelezo ya mmiliki wa huu uzi sikasena jamaa mkewe hana shida wako poa tu sema shida yake ni mtu wa ndio,
au kuna tatizo gani umeligundua mkuu?