Leo nimekumbuka kisa kimoja cha enzi za ujana wangu niliwahi kumzoea kijana mmoja makamo ya 34years ameoa na ana watoto wawili wale wa jumamosi na jumapili
alipenda sana kampani yangu kwakuwa nilikuwa single nami nilipenda pia, akienda mahali lazima aniite 'madam please come or i pick you where you are'.
Wakati namfahamu alikuwa mtu wa bata, hapiki kwake every time mkichat lazima anakula na kunywa bia. Nikajua ana hela zakumtosha kumbe ni hawa watumishi wa kawaida tu. Sasa mi nikiwa napiga story naye tunakula namwambia punguza matumizi makubwa, kula hivi, vile pombe kunywa weekend na not every meal n.k.
Wakija marafiki wengi namwambia hey una family usimnunulie mtu pombe ili mradi kaja kakukuta mwache ale pesa ilomleta bar! labda yule ambaye mna appointment ya kutoka.
Alivyokomaa serious kunitaka nikaamua kukatisha mazoea alilalamika na kulia sana for months!! sana anasema ' Ningepata mwanamke wa aina yako anawaza life, beauty
akanituliza ningekuwa mbali sahivi.
Nikawa namchombeza akiwa amelewa wewe si una mke why umataka kumcheat nakuniahidi utaishi nitakavyo? utanipa nitakacho kilicho ndani ya uwezo wako?
anasema tu yule mwanamke wangu namuheshimu sana nimetoka naye mbali, hana makuu kila nimwambialo anakubali hana shida.
Sasa why hujatulia? yupo tu aaahhh umenikatili i thought nimepata mtu nitulize akili
Sasa najiuliza nyie wanaume imekuwaje umeoa halafu hujatulia unataka mchepuko akutulizee?