Ningemshauri huyu dada lakini ndio hatuna mazoea kabisa

Ningemshauri huyu dada lakini ndio hatuna mazoea kabisa

usimwache aangamie ni dhambi.

lazima aambiwe kwa gharama yoyote tu, kwamba huo utapeli utamgombanisha na watu wake muhimu.
 
Munashinda pamoja? Kwanini hio mada aizungumzie kila ukiwepo wewe? Mbado
Tatizo bado unaishi kwa shemeji iyo mada anaongeaga jioni wakati wote tumetoka kweny mishemishe basi ndo mda watu wengi hutulia na sim zao na kuwapigia wapendwa wao au wewe hata ukiwa kazini mda wote una kua na simu.??
Jiongeze basi mbna ni jambo la kutumia akiki kidgo tu hilo
 
Rafiki yangu jinsia KE.

Aliwai nishawishi niingie kwa Mr Kuku. Nikagoma nikamwambia mtakuja kupigwa, alichukia sanaa

Mda ukafika yakawatokea Matakoni[emoji23]

Ile kumcheka ikawa bifu la chinichini hadi leo,

Mda mwingi status zake za vijembe vijembe, ni wadada wanaishi fakelife,

Hajawai post akiwa anakula Chakula cha kawaida,

Yeye anapendeza ila mme wake anajinyima sana.
 
Huna mazoea ila maisha yake umefatilia ABC mpk mwisho.

Haya Ndo matatizo ya watu wa mkoani
Umesoma uzi ukaelewa ndgu??
Watu wa mikoani wana matatizo gani mkuu fafanua hilo??
Kula sana dagaa uongeze uwezo wako wa kufikiri mkuu.
 
Kama ana miaka chini ya 35 achana naye, kupoteza ni sehemu ya maisha. Ni kujifunza pia.

Mimi kuna mdada hapa, anajifanya mjuviii anajua kila kitu, mzee wa fursa. Anaona wenzake wote wajinga.

Ameacha kazi ana mwezi sasa, anapelekeshwa na hao GNLD.

Kumshauri mtu aliyeingia huko ni kujitafutia chuki na ubaya, maana ukishaubgia kule unakuwa full radicalized yaani unafanywa msukule.

Kumshauri kwamba hizo kampuni ni mbaya ni sawa na kumdiss Diamond mbele ya Baba Levo au shabiki yake yoyote, au kumdiss Gwajima, au Kakobe mbele ya waumini wao au kumdiss MAGU mbele ya MATAGA. Hao ni watu wa kuwahurumia na kuwapa muda.

Binafsi nina brother alishawahi kuwa huko, mimi nilimwacha tu, akachoka mwenyewe akaona hailipi akaachana nayo.

Simple.

People with independent minds are very few.

Tena sasa hivi wanabanwa balaa, kila week seminar za kwenda kufundwa kisaikolojia, huku wakiwa limited kiakili wasiwasikilize wengine.

Wanaambiwa, ukijidanganya kuwasikiliza MEDIA au WATU wengine umekwisha. Lengo wawasikilize wao tu, magwiji wa hizo kazi.
Hivi hii kampuni si imeonekana kuwa inawanyonya raia na kuwa na elements za utapeli?!

Why sasa bado ipo na haijafungiwa usajiri....?!

Kama hii kampuni haina shida, mbona Mr. Kuku farm imefungiwa na ilikuwa inaenda na modality kama hii?!
 
Rafiki yangu jinsia KE.

Aliwai nishawishi niingie kwa Mr Kuku. Nikagoma nikamwambia mtakuja kupigwa, alichukia sanaa

Mda ukafika yakawatokea Matakoni[emoji23]

Ile kumcheka ikawa bifu la chinichini hadi leo,

Mda mwingi status zake za vijembe vijembe, ni wadada wanaishi fakelife,

Hajawai post akiwa anakula Chakula cha kawaida,

Yeye anapendeza ila mme wake anajinyima sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwambie Mr. kuku karudi tena...aende
 
simple mbona mwambie tu habari dada! Hongera kwa utafutaji wa kuichumi! nilisikia unaongea kuhusu "taja jina la kampuni" hebu chukua muda kufatilia kabla hujaingia huko maana kuna malalamiko ya watu kupoteza pesa zao kuhusu hizo biashara!
hivyo tu inatosha akajibu vyovyote vile mwambie poa
achana naye
 
Muda mwingine huwa nawaza huenda sisi watanzania tulitokana na nyani kweli.......!
 
Hao ni wazee wa AIM Global wazee wa leta wawili nao walete wawili sijui kizazi cha kwanza na blah blah kibao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hujamuzoea lakini umeweza kufuatiria maongezi yake kwa wiki nzima! Huo ni uchawi.
Anaongea kwa sauti hadi namsikia, wala sio kufatilia.
Labda akili yako isiwe sawa ndo utashindwa kuunga dots.
Huna mazoea ila maisha yake umefatilia ABC mpk mwisho.

Haya Ndo matatizo ya watu wa mkoani
Hapo nimeongelea maisha yake ABC mpaka mwisho??

😀😀 mkuu watu wa mkoani ndo wanafatilia maisha ya watu tena?

Enewei ni anaongea kwa sauti sana wala sina haja ya kumfatilia.
 
Back
Top Bottom