Nipo na mke wangu zaidi ya miaka 5 sijawahi kujutia kuoa au kuwa naye.
Mhh i hate loneliness kwa kweli..nikiwaza kuzeeka sina a family of my own,hapana aisee,tuzinguane tu ,family is so important,tatizo ni over expectations mtu unadhani unaoa malaika kumbe binadamu wa kawaida tu ka wewe...
Kila anachosema baba kipo sawa?...wot if yeye ndio analeta mifarakano kwny ndoa?
Asiyejua maana ya ndoa ndio anaweza kusema maneno hayo, pia ujue hakuna maisha ya kukopy.ila amini usiamini kuna big advantage katika kuoa kama utakua umejipanga,mind sisi wanaume tuna big role ya kuhakikisha ndoa inasimama hakuna wapo wanawake wenye shida lakini nina uhakika kwa wanawake walio tulia haanzi kuleta vurugu kama mwanaume hajamvuruga
Hata mtoto uzae na mgomba!
Kwa maneno mengine anasema uwepo wenu duniani (wewe na dada yako) haujamtia faraja kiasi kwamba bora msingezaliwa.
What kind of a father anayesema maneno kama hayo kwa wanawe. No wonder ugomvi hauishi na mkewe.
Unaweza share nami sababu ya kujuta kwako
Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili.
Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.
Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.
Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.
Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.
Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakat mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.
Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote. Ntasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa...
Eh!sasa punguzeni kuchaguwa sana umri nao unakimbia.
I dont think that is what he meant both are my parents I have been with them almost all my life I do understand what he is going through sikutaka weka wazi everything coz kuna baadhi ya watu humu wanajua who I am.
Wewe ni product ya ndoa. Sasa kama amefikia kujuta na kusema mbele yako unategemea nini? Inaonekana unatake sides already, unayajua yote ya ndani ya wazazi wako?
Nimekusoma zaidi ya unavyofikiri ndicho ulichoandika!the issue is, my wife is not well educated ended in form four with low division. To me this was not an issue to regard,the only point to marry this woman was to have the children caring mother esp.in the aspect of moral and obidience,full time available and to take my part in comforting my mother by washing her clothes,cooking for her in time,to maximize her hospitality to her and the related duties. Unfortunately she has been coliding with her though my mother is still hardly working,i have tried to use even my psychological back ground to calm their disputes but she is stubborn,ignorant of decisions proposed and the worst thing is she despises my mum and other relatives tellin them that one day they will bend before asking for support, while neglecting their efforts invested on me. So many issues to narrate....... HOW CAN YOU NOT CONDEMN YOURSELF FOR MARRYING. MY MUM IS MY ICON OF SUCCESS.
Na wewe usiwe na over expectations, maisha yatakuwa rahisi, mwanaume ukimkubali kama alivyo hana life mtalisongesha bila tabu.
lakini umri wako si bado hujafika ule wa tia maji tia maji?
Jaribu uone kama utaweza. ..Watu wengi tu hua wanasema kama huyo baba yako!Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili.