Ninawaza kuacha chuo niingie mtaani, naomba ushauri🙏

Mwaka was Pili, LLB

Honestly, Nilikuwa na hisia kama zako kipindi iko ila nikakomaa tu na kitabu

Me nakushauri komaa na shule hadi umalize,tatizo lako kubwa ni kupenda kujilinganisha na wengine hapo ndo unapokosea.

Katika maisha kila mtu ana njia zake za kufanikiwa huwezi kujua Mungu amekupangia nini?

Maamuzi unayoyataka kuyachukua kwangu mimi naona kama ni mihemko tu ya ujana,kutaka pesa za haraka, Ni sawa ww kujilinganisha na waliokuzidi maendeleo but hao wenzio wana njia zao walizotumia kufanikiwa, Niamini mm si kwamba kufanya tu biashara kama biashara na ikasimama fresh na kuchanua.

Ndugu yangu tuliza kichwa acha papara soma kwanza umalize mengine ni majaaliwa tu.

Nipo kwenye hiyo kada ya sheria naifahamu hata kama haitokupa heshima now kuna mafanikio makubwa yanakusubiri.

Nakushauri hivi kama kijana mwenzangu.
Sijui atataka nini tena zaidi ya haya madini yaliyojitosheleza.
 
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu marahaba.

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa shukuran zangu za dhati kabisa kwa ndugu Maxence Melo kwa kuanzisha jukwaa hili pendwa la JamiiForums hakika ni baraka kwetu watumiaji🙏

binafsi mimi ni member mpya na nilianza kufuatilia threads mbalimbali kipindi bado Niko Form 2 way back 2012 baada ya kununua simu yangu ya kwanza ya kuweza kuaccess internet ndipo nilipokutana na hili jukwaa pendwa Facebook kwenye FreeBasics na nikaendelea kulifuatilia kwa ukaribu sana na nikatokea kulipenda sana kwa kiasi ambacho siku ikipita bila kuingia JF kusoma threads za akina Kiduku Lilo na kaka Mkubwa Mshana jr nlikuwa nahisi kupungukiwa kitu.😂😂

Japo frankly speaking hii JF ya zama hizi ni tofauti kidogo na ile iliyokua chanzo cha Mimi kuikubali JF sababu sikuhizi members wamekuwa na threads zenye contents zisizokuwa na maadili ndo maana sijawah kujiregister na sometimes inafikia hatua members humuhumu JF anashindwa kupost kuomba ushauri humu jukwaani kwa kuhofia kupokea bad response kutoka kwa wachangiaji.

🗣️I kindly invite you to RESTORE THE LOST GLORY OF JamiiForums🙏

Turudi kwenye hoja...

Mimi ni kijana aging 20-30 yrs ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili chuo kimoja apa bongo.

Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hatma ya hii elimu yangu nikiangalia kuna wahuni tumemaliza wote o-level kwa bahati nzuri hawakufanikiwa kusonga mbele Lakin wamefight kitaa sahv mambo yao yako Safi na wanafamilia zao hadi inafikia hatua boom likikata chuo unafikiria kuwapandia hewani wafanye miujiza maisha yasonge ila nafsi inakuwa inakusuta😷 sasa nikiangalia kwa upande wa hii serikali ya wananchi uwezekano wa kuajiriwa ( japo sipendi hii habari ya kuajiriwa serikali) na upande wa kujiajiri na hii kozi yangu still naona mambo ni bila bila.

Nilikua naomba ushauri wenu wa kipi cha kufanya make sahv nishafungua hatua ya kutouona umuhimu wa elimu kwa zama hizi kwa sababu nina ufahamu wa kiasi chake kuhusu hii elimu na nilishauondoa ujinga. 😎

Hapa nipo nawaza nichukue boom niingie kitaa nianze mishe mishe za kutafta future yangu make huu ndo umri wa kuhangaikia destiny zetu kabla ya fainali huko uzeeni.

Shida ni kuwa sina connection yoyote na sina uzoefu na biashara kwa sababu niliwekeza akili yangu yote huku kwenye elimu Lakin kwa sasa naona inataka kunisaliti😓

Naomba ushauri wa nn nifanye kwa hatua hii niliofikia, natanguliza shukurani🙏

N.B
Mimi sio mtoto wa mama wala last born, I mean sio mtu wa kutegemea watu kama ndugu na wazazi nikiwa na shida inayohitaj pesa🙂 kama huna kitu cha kunishauri naomba u Mute😎
Idea yako nzuri ila usiishi kwa kuwaza eti kisa flani kafanikiwa nawe utafanikiwa kwa njia hiyo. Kila mtu ana njia yake otherwise sote tungekuwa na mafanikio
 
WENZIO MA DK WAMEACHA KAZI WANAUZA SANITAIZA/BARAK NN CHUOO
 
Unaacha chuo uingie mtaani kufanya biashara ambayo ndio unaingia kujifunza. Nakushauri endelea na masomo tena jibidishe wacha masihara. Halafu baada ya masomo soma vitabu vya ujasiriamali na biashara at least vitabu 50. Vitakuchukua mwaka mmoja.wakati unafanya hayo yote, shusha sana maisha yako na kufanya matumizi kwa umakini mkubwa. Weka akiba kiwango cha kutosha.

Hivyo ni vitu nimekwambia vya kuanzia.
Ukikimbia shule ukaenda kitaa na ndio unajifunza utapigwa kotekote utakuja juta.
 
Japo kwa kipindi hiki, elimu imeonekana kama vile haina msaada hasa kutokana na ukosefu wa ajira. Ila nakusisitiza usome kwanza, then ndio uangalie mbele.

Kila mtu anabahati yake, my struggles ain't yours, your succes ain't mine. Namaanisha kila mmoja ananjia yake, pengine mpaka unakuja kumaliza chuo, ajira zitakuwa za kumwaga. U never know.
 
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu marahaba.

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa shukuran zangu za dhati kabisa kwa ndugu Maxence Melo kwa kuanzisha jukwaa hili pendwa la JamiiForums hakika ni baraka kwetu watumiaji🙏

binafsi mimi ni member mpya na nilianza kufuatilia threads mbalimbali kipindi bado Niko Form 2 way back 2012 baada ya kununua simu yangu ya kwanza ya kuweza kuaccess internet ndipo nilipokutana na hili jukwaa pendwa Facebook kwenye FreeBasics na nikaendelea kulifuatilia kwa ukaribu sana na nikatokea kulipenda sana kwa kiasi ambacho siku ikipita bila kuingia JF kusoma threads za akina Kiduku Lilo na kaka Mkubwa Mshana jr nlikuwa nahisi kupungukiwa kitu.😂😂

Japo frankly speaking hii JF ya zama hizi ni tofauti kidogo na ile iliyokua chanzo cha Mimi kuikubali JF sababu sikuhizi members wamekuwa na threads zenye contents zisizokuwa na maadili ndo maana sijawah kujiregister na sometimes inafikia hatua members humuhumu JF anashindwa kupost kuomba ushauri humu jukwaani kwa kuhofia kupokea bad response kutoka kwa wachangiaji.

🗣️I kindly invite you to RESTORE THE LOST GLORY OF JamiiForums🙏

Turudi kwenye hoja...

Mimi ni kijana aging 20-30 yrs ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili chuo kimoja apa bongo.

Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hatma ya hii elimu yangu nikiangalia kuna wahuni tumemaliza wote o-level kwa bahati nzuri hawakufanikiwa kusonga mbele Lakin wamefight kitaa sahv mambo yao yako Safi na wanafamilia zao hadi inafikia hatua boom likikata chuo unafikiria kuwapandia hewani wafanye miujiza maisha yasonge ila nafsi inakuwa inakusuta😷 sasa nikiangalia kwa upande wa hii serikali ya wananchi uwezekano wa kuajiriwa ( japo sipendi hii habari ya kuajiriwa serikali) na upande wa kujiajiri na hii kozi yangu still naona mambo ni bila bila.

Nilikua naomba ushauri wenu wa kipi cha kufanya make sahv nishafungua hatua ya kutouona umuhimu wa elimu kwa zama hizi kwa sababu nina ufahamu wa kiasi chake kuhusu hii elimu na nilishauondoa ujinga. 😎

Hapa nipo nawaza nichukue boom niingie kitaa nianze mishe mishe za kutafta future yangu make huu ndo umri wa kuhangaikia destiny zetu kabla ya fainali huko uzeeni.

Shida ni kuwa sina connection yoyote na sina uzoefu na biashara kwa sababu niliwekeza akili yangu yote huku kwenye elimu Lakin kwa sasa naona inataka kunisaliti😓

Naomba ushauri wa nn nifanye kwa hatua hii niliofikia, natanguliza shukurani🙏

N.B
Mimi sio mtoto wa mama wala last born, I mean sio mtu wa kutegemea watu kama ndugu na wazazi nikiwa na shida inayohitaj pesa🙂 kama huna kitu cha kunishauri naomba u Mute😎
Mm binafsi nakushauri malizia huo Mwaka mmoja au miwili iliyo baki chuo then ingia mtaani utakua na advantage nyingi.....

Kwanza utakua na degree pili hautakua kweny KUNDI la Education dropout....

Ukimaliza chuo ingia mtaani Anza ku scratch from the beginning.....then usichague Kazi KUA bodaboda, mkulima N.K
Maana ukisoma utaondoka kweny KUNDI la watu wanao penda kutoa EXCUSES kisa hawaku bahatika kusoma..
 
Njia walizopita wenzako na wewe ni tofauti. Hiyo ndo njia ya mafanikio uliyopangiwa na Mungu upite, Kwa kuwa hali yako bado inakuruhusu kuendelea na chuo basi endelea usiache.
 
Wewe una miaka 40+ bado huna Nyumba, Huna Gari. Hata ukija pata umebakiza miaka 20 au 10 ya kuenjoy. Miaka 40, 50 hukuwa na gari unapata pesa badala uwekeze kwa wanao ndio unaenda nunua gari. Ili iweje sasa? Anyway kama una usafiri endelea kutumia. Huo na Sehemu ya kujihifadhi. Nyumba tunajenga wenye pesa na kumiliki magari pia.

Haina haja ya kupaka maneno rangi, tuambiane tu ukweli vijana wenzangu wa Kitanzania. Maisha hayana Formula ambayo ni constant (never changes)

Nimeangalia maisha ya watanzania wengi ni maisha ya kupambana toka day one anapozaliwa. Mtoto anaanza kukutana na misuko suko akiwa tumboni mama yake. Kunyanyaswa na Manesi, kutukanwa na kukosa maisha matunzo mema.

Mtoto huyu anapozaliwa bado anakuja oneshwa Dunia ilivyo kwa machungu. Unakuta mtoto anapambana sana hakuna anachopata kirahisi.

Ukiacha sisi ambao tumezaliwa na Golden Spoon. Wengi wanakuwa na hard time na wanajifunza upambanaji toka wakiwa wadogo. Wanakuwa kwa mapambano mpaka kufikia umri huu ameshapambana mara nyingi na Malaria, Pepopunda, Degedege, Tetekuwanga, Kuhara, Minyoo, Typhoid, Mafua, Kifua, Kurogwa n.k na kuibuka mshindi.

Hii spirit huwa kwa vijana wengi inakoma akibalehe. Kutoka hapo unakuta kijana sasa anaanza kupambana kwa mambo ya kipuuzi. Anaanza kupambania wasichana. Hapo ndo anaanza poteza mwelekeo.

Sisi ambao wazazi wetu walikuwa na pesa toka mwanzo tunazaliwa ktk mazingira mazuri. Huwa mara chache nawaambia kuwa shida pekee iliyokuwepo home ni kuwa kila kitu kipo.hata wakati wa kula unashindwa kukataa kusema sitaki pizza nataka Chips kuku. Ili washindwe kuzipata usile. Unakuta vyote vipo mezani (buffet) kama hotelini.

Mimi siku pekee nlijifunza kutokuwa na kitu nlipomuuliza Mzee kama ana ndege Binafsi akasema hana. Ndo hapo nikagundua kumbe kunakukosa pia. Ila magari yote mazuri yapo n.k

Anyway. Sasa unapoenda pata Elimu unapaswa ujiulize ninyi ambao mnatumia mfumo huu wa Kiswahili wa Elimu( Mimi nlisoma Cambridge)

Unatakiwa ujue unaenda kusoma ili iweje?uwe nani? Na kwanini ukasome?

Watu wengi wanasoma kwa fashion.kuwa watu wote wanasisitiza shule so naye anaenda kusoma.

Nliwahi mshauri mtu mmoja aachane na kumsomesha mtoto wake chuo. Jamaa hakunielewa. Akamsomesha mpaka Kumaliza Degree ya Udaktari. Yule bwana mdogo hakuwahi enda fanya kazi kama Daktari. Amefungua mabanda ya kuuza Chips mengi ndo anaendesha maisha yake. Mwaka wa 4 huu. anasema ameshaanza sahau hata Udaktari n.k

Baba yake analalamika. Namwambia nlikushauri kipindi kile hukunielewa.

Haiwezekani wote tusome. Na akili za mtu hazipimwi kwa mfumo huu wa Formal Education.

Kama ukimchukua Samaki na Panya ukataka wapima akili kwa uwezo wa Kuogelea. Ni wazi Samaki ataonekana ana akili sana kuliko Panya.

Utahitimisha kuwa Panya hana akili. Samaki ni Intelligent. Lakini kumbe hukutumia vipimo sahihi kwa specimen hizo mbili. Wana tabia tofauti na uwezo tofauti.

Huwa nawaambia watu mchezaji kama Messi au Ronaldo ni Intelligent katika field yake. Its possible Darasani hakuwa mzuri. Ukamlazimisha asome na A reseat mara kadhaa ukimpotezea muda. Leo hii Messi/Ronaldo asingekuwa alivyo.

Haya maisha namna yako ya kufanikiwa unayo wewe. Sikiliza your instinct inakwambiaje? Usilazimishe kuwa somebody ambaye hutoweza kuwa.

Wangapi wanajuta kwa kupoteza muda kusoma na wasifanikiwe kiasi kile walichotaka? Wangapi waliacha au kukomea level flani ya Elimu leo wana mafanikio kuliko wenye Degree,Masters au PHD?

Kuna kipindi Mfumo unakukataa makusudi. Unagoma unataka pambana unapoteza kile ambacho mfumo mwingine ulikuwa unakihitaji from you.

Waliofanikiwa na kuwa vile walivyo kutokana na Elimu ni kwa kuwa Mfumo huo ndio ulikuwa njia sahihi kwao.

Unapofeli kwenye njia moja jiulize sababu ni nini. Kuna mtu anasema alifanya mtihani vizuri kabisa ila matokeo yalikuja amefail.hakuelewa ame fail vipi. Au alikuwa ana akili lakini alifail kwenye mitihani.

Pengine hii ni njia ya kukupeleka kwenye kusudio lako halisi. Akili ile ikatumike kwenye jambo jingine kubwa.

Angalia. Wajasiliamali wakubwa,matajiri waajiri. Si watu wenye Elimu kubwa sana ya Darasani. Wengi walikuja ongezea kusoma kwa leisure wakiongezea katika kile ambacho walikuwa wame master tayari.

Ukiacha sisi wachache ambao tumetajirika toka kwa wazazi na pia Elimu ikaendelea kupaka rangi maisha yetu. Wengi ni waliokuwa Daraja la pili au Tatu Darasani Kielimu ndio wamekuja kuwa waajiri Matajiri.

Wazungu wanasema anything you are good at contributes to your happiness. Lolote uwezalo lifanya vizuri linachangia kwenye furaha yako.

Ukifikia hatua ukaamini your instinct ambayo inakwambia wewe si wa kusoma. Ingawa umefaulu una Division 1/2 but wewe ni mtu flani. Ukasema jamani siendi Chuo. Nafanya jambo hili. Ujue umefikia hatua ya kujielewa.

Then simamia unachoamini. La msingi ni how do you channel your ability to the right purpose.

Inawezekana we mzuri sana wa kutongoza. Achana na mademu tumia hicho kipaji kushawishi watu ukifanya biashara wawe wateja wako uingize pesa badala ya kutoa.

Inawezekana wewe ni Tapeli mzuri sana. Achana na Utapeli anzisha mradi ambao ule ujanja ujanja wa kutapeli watu utatumika huko positively.

Una tabia ya uongo uongo. Acha uongo kuwa mwandishi wa stories. Utauza na ukitunga na Movies au Tv Series.

Sikiliza sauti yako and chase your dream.hukuumbwa eti wewe kazi yako iwe ni kuchanganya tu wasichana. Hapo maana yake ulipewa talent then unaitumia isivyopaswa.

Ni sawa na kuivisha kidani cha dhahabu pua ya Nguruwe.haiwezekani wote tukaajiriwa. Haiwezekani. Haiwezekani wote tukaenda Darasani na kupitia hii mifumo yenu ya Elimu nchi maskini mna enda kukariri mpaka mna maliza.

Kijana ufanye nini?
1. Jitambue wewe ni nani

2. Unataka nini?

3. Utafanyaje?

4. Amua, halafu wekeza katika maamuzi yako. Ukiinuka usitizame tena nyuma songa mbele.hakuna kujuta.

Umepambana na malaria,pepopunda,tetekuwanga,surua,kifuakikuu (ninyi wengine mlikuwa na minyoo mpaka inakuwa mingi inatokea puani na mdomoni) na magonjwa yote ya utotoni. Ukashinda.

Sasa acha ujinga ukubwani unataka kushindana kuwa na wanawake wengi. Badala ya kuhamishia mapambano katika maisha. Kubali kujifunza kwa watu wenye Uelewa wa jambo flani. Halafu fanyia kazi.

Nachelea kusema kuwa mimi nmeanza endesha gari nikiwa na umri mdogo sana. Hivi sasa maisha haya na uzuri wake huwezi nidanganya kuwa eti nihangaike na msichana. Msichana ndo atahangaika na mimi.

Mimi nampa msichana pesa 1,000,000 halafu akianza kunipigia pigia simu namwambia aniache kwa sasa nahitaji pumzisha akili naenda Zanzibar then Arusha. Ile pesa nlimpa tu kama msaada.

Na ndo maana sometimes nawaambia napenda nipate mwanamke mzuri na mwenye akili. Dada mmoja nimuuliza nikimpa Mil 20 atafanyia nini. Akanambia ataenda kununua Usafiri Toyota Harrier. Nikamuuliza utafanyaje service na kuweka fuel? Maana hakuwa na kazi. Hapo kwenye gari GMC nina Mil 25.

Akainamisha kichwa chini, nikagundua pengine anamaanisha sehemu zake za siri ndo zitalipia. Nliinuka nikaenda kwenye gari nikachomoa tu mil 2 nikamwambia atumie nauli aende home mi nmepata dharura. Akashukuru sana na kutaka nikiss nilimkumbusha kuwa nlimwambia no touching no kissing.

Alishapagawa kwa Mil 2. Kesho yake nikamwambia asinitafute nipo busy. Nikaacha kuwa na ukaribu naye. Maana angeniambukiza Upumbavu tu. Unapo date Mwanaume/Mwanamke Mpumbavu automatically unanyonya Upumbavu wake.

Vijana tufanyeni kazi, hasa ninyi ambao hamna cha kurithi kwa wazazi wenu zaidi ya madeni na maradhi,masimango na mikosi. Fanyeni kazi kwa bidii katika kila jambo unaloweza lifanya. Go extra mile. Usizimie moyo. Aluta Continua
 
Umenikumbusha kuna mwanangu mmoja aliacha chuo mwaka wa mwisho semester ya mwisho akaingia mtaani kufanya harakati yaliyomkuta acha kabisa.

Kuna mwingine ulikuwa mwaka wa pili na yeye alikimbilia mtaani kufanya michongo ya biashara yaliyomkuta na yeye acha niseme acha kabisa.

Ila wengi niliona wanakimbia wakianza kukutana na sup pamoja na carry-over.

Ukiona mtu anakimbia chuo/shule jua anakimbia majukumu kulingana na umri wake alionao.

Kwa Africa Mtoto Upewa Jukumu La Kutafuta Elimu Na Walezi Wake.
 
Umekopi na kupaste kwa KIDUKULILO

Jifunzeni ku acknoledge source....ulicho fanya ni ufisadi
 
Mjukuu soma, elimu nayo ina maana kubwa kwenye mafanikio,
 
Ukiacha chuo utafurahishwa na mtaa. Mtaa hauna rafiki wala haujali una hakili, passion, elimu wala kujiamini. Mtaa unakunyoosha hadi muda ukitaka kufa ndo zali linajitokeza kkusaidia.

Mtaani maisha ni magumu. Maisha huku hayana formula wala hayana rafiki wala hayapewi lushwa ya boom lako ili yakufanikishe unachofanya. Maisha ya mtaani yanatakiwa angalau uingie ukiwa na biga la kuegemea kama mzazi au mtu wa uhakika (kwa watu waliofika elimu ya chuo {malanyingi hawawez kuvumilia hisia za kufeli mbele za watu}) bora ukiwa na mtu atakuinua kila ukifeli (na nilazima ufeli)

Nlivyokuwa chuo nlipoteza zaidi ya 4 millions kwa sababu ya biashara. Nka.drop chuo ndo kabsa nkapoteza hela nyingi mno kwa sababu ya mentality ya elimu.

Soma na fatilia kuhusu biashara alafu ukimaliza ndo lucky will choose you.
Na usifatilie biashara unayoipenda wala biashara yenye faida nzuri. Ww fatilia biashara yyte utakayoweza hata kusaidia kazi bila kulipwa hata ikiwa kupika kacholi, hautaamini utakacho-jifunza.
 
Back
Top Bottom