Ninawaza kuacha chuo niingie mtaani, naomba ushauri🙏

Bado unayo nafasi malizia shule.. Ukiingia mtaani unaweza kupiga miguu yote yote, kuliko kuingia mtaani ukiwa na uwezo wa kupiga mguu mmoja.

Maisha hayana formula, umaweza ukaacha shule halafu kitaani kukawa kugumu. Sio kila njia aliyopitia fulani akafanikiwa nawe lazima utoboe na hiyo hiyo.

KOMAA
 
Hataka ku reveal umri wake....ni kawaida kwenye uandishi
Wewe tambua kua ni kijana kati ya miaka 20 mpaka 30
Kwani ukisema umri wako kuna ubaya
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu marahaba...

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa shukuran zangu za dhati kabisa kwa ndugu Maxence Melo kwa kuanzisha jukwaa hili pendwa la JamiiForums hakika ni baraka kwetu watumiaji🙏

binafsi mimi ni member mpya na nilianza kufuatilia threads mbalimbali kipindi bado Niko Form 2 way back 2012 baada ya kununua simu yangu ya kwanza ya kuweza kuaccess internet ndipo nilipokutana na hili jukwaa pendwa Facebook kwenye FreeBasics na nikaendelea kulifuatilia kwa ukaribu sana na nikatokea kulipenda sana kwa kiasi ambacho siku ikipita bila kuingia JF kusoma threads za akina Kiduku Lilo na kaka Mkubwa Mshana jr nlikuwa nahisi kupungukiwa kitu.😂😂

Japo frankly speaking hii JF ya zama hizi ni tofauti kidogo na ile iliyokua chanzo cha Mimi kuikubali JF sababu sikuhizi members wamekuwa na threads zenye contents zisizokuwa na maadili ndo maana sijawah kujiregister na sometimes inafikia hatua members humuhumu JF anashindwa kupost kuomba ushauri humu jukwaani kwa kuhofia kupokea bad response kutoka kwa wachangiaji.

🗣️I kindly invite you to RESTORE THE LOST GLORY OF JamiiForums🙏

Turudi kwenye hoja...

Mimi ni kijana aging 20-30 yrs ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili chuo kimoja apa bongo.

Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hatma ya hii elimu yangu nikiangalia kuna wahuni tumemaliza wote o-level kwa bahati nzuri hawakufanikiwa kusonga mbele Lakin wamefight kitaa sahv mambo yao yako Safi na wanafamilia zao hadi inafikia hatua boom likikata chuo unafikiria kuwapandia hewani wafanye miujiza maisha yasonge ila nafsi inakuwa inakusuta😷 sasa nikiangalia kwa upande wa hii serikali ya wananchi uwezekano wa kuajiriwa ( japo sipendi hii habari ya kuajiriwa serikali) na upande wa kujiajiri na hii kozi yangu still naona mambo ni bila bila.

Nilikua naomba ushauri wenu wa kipi cha kufanya make sahv nishafungua hatua ya kutouona umuhimu wa elimu kwa zama hizi kwa sababu nina ufahamu wa kiasi chake kuhusu hii elimu na nilishauondoa ujinga. 😎

Hapa nipo nawaza nichukue boom niingie kitaa nianze mishe mishe za kutafta future yangu make huu ndo umri wa kuhangaikia destiny zetu kabla ya fainali huko uzeeni.

Shida ni kuwa sina connection yoyote na sina uzoefu na biashara kwa sababu niliwekeza akili yangu yote huku kwenye elimu Lakin kwa sasa naona inataka kunisaliti😓

Naomba ushauri wa nn nifanye kwa hatua hii niliofikia, natanguliza shukurani🙏

N.B
Mimi sio mtoto wa mama wala last born, I mean sio mtu wa kutegemea watu kama ndugu na wazazi nikiwa na shida inayohitaj pesa🙂 kama huna kitu cha kunishauri naomba u Mute😎
Kwani aliyekuambia Usome hadi hapo ni nani
 
Usiache chuo...anza kujenga misuli kwa kuanza biashara ukiwa chuo ili ujifunze na ujue mengi kwenye biashara. Tukisema biashara/ujasiliamali mgumu huwa tunamaanisha inachukua muda kusimama na unaweza usisimame kabisa. Maliza chuo na anza bishara hapohapo utuletee mrejesho wa hiyo biashara
 
Soma aisee kijana,maishahayatabiriki kwa kuwa tayari ushaingia chuo tena mwaka wa pili ni bora ukomae tu ufaulu na umalize vizuri then ndo uje upambane udongoni,kila mmoja ana babati yake katika maisha hujui mbeleni kitatokea nn,kama lengo ni biashara unaweza ukaanza taratibu ili kuanza kupata uzoefu kidogo huku ukipangilia mda wako wa kusoma vizuri,mazingira ya afrika tunayajua wenyewe yalivyo,alafu miaka ya chuoni ni michache unajikuta umemaliza,rafiki yangu mmoja alikuwa na mawazo kama yako sema yeye ugumu wa kozi ndo ulimfanya aache na kwa bahati mbaya akayatekeleza mawazo yake, hivi sasa hali yake ni mbaya kimaisha hajiwezi kabisaaaa,so maisha ndivyo yalivyo pambana...
 
Shukran mkuu, nautafakari ushauri wako👊 apa nilikua nawaza hata nizamie mgodini kwenye hii likizo ya pasaka nisubir kifuatacho baada ya kuzamia sababu hii elimu ya bongo sahv ni kitendawili🙏
 
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu marahaba...

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa shukuran zangu za dhati kabisa kwa ndugu Maxence Melo kwa kuanzisha jukwaa hili pendwa la JamiiForums hakika ni baraka kwetu watumiaji🙏

binafsi mimi ni member mpya na nilianza kufuatilia threads mbalimbali kipindi bado Niko Form 2 way back 2012 baada ya kununua simu yangu ya kwanza ya kuweza kuaccess internet ndipo nilipokutana na hili jukwaa pendwa Facebook kwenye FreeBasics na nikaendelea kulifuatilia kwa ukaribu sana na nikatokea kulipenda sana kwa kiasi ambacho siku ikipita bila kuingia JF kusoma threads za akina Kiduku Lilo na kaka Mkubwa Mshana jr nlikuwa nahisi kupungukiwa kitu.😂😂

Japo frankly speaking hii JF ya zama hizi ni tofauti kidogo na ile iliyokua chanzo cha Mimi kuikubali JF sababu sikuhizi members wamekuwa na threads zenye contents zisizokuwa na maadili ndo maana sijawah kujiregister na sometimes inafikia hatua members humuhumu JF anashindwa kupost kuomba ushauri humu jukwaani kwa kuhofia kupokea bad response kutoka kwa wachangiaji.

🗣️I kindly invite you to RESTORE THE LOST GLORY OF JamiiForums🙏

Turudi kwenye hoja...

Mimi ni kijana aging 20-30 yrs ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili chuo kimoja apa bongo.

Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hatma ya hii elimu yangu nikiangalia kuna wahuni tumemaliza wote o-level kwa bahati nzuri hawakufanikiwa kusonga mbele Lakin wamefight kitaa sahv mambo yao yako Safi na wanafamilia zao hadi inafikia hatua boom likikata chuo unafikiria kuwapandia hewani wafanye miujiza maisha yasonge ila nafsi inakuwa inakusuta😷 sasa nikiangalia kwa upande wa hii serikali ya wananchi uwezekano wa kuajiriwa ( japo sipendi hii habari ya kuajiriwa serikali) na upande wa kujiajiri na hii kozi yangu still naona mambo ni bila bila.

Nilikua naomba ushauri wenu wa kipi cha kufanya make sahv nishafungua hatua ya kutouona umuhimu wa elimu kwa zama hizi kwa sababu nina ufahamu wa kiasi chake kuhusu hii elimu na nilishauondoa ujinga. 😎

Hapa nipo nawaza nichukue boom niingie kitaa nianze mishe mishe za kutafta future yangu make huu ndo umri wa kuhangaikia destiny zetu kabla ya fainali huko uzeeni.

Shida ni kuwa sina connection yoyote na sina uzoefu na biashara kwa sababu niliwekeza akili yangu yote huku kwenye elimu Lakin kwa sasa naona inataka kunisaliti😓

Naomba ushauri wa nn nifanye kwa hatua hii niliofikia, natanguliza shukurani🙏

N.B
Mimi sio mtoto wa mama wala last born, I mean sio mtu wa kutegemea watu kama ndugu na wazazi nikiwa na shida inayohitaj pesa🙂 kama huna kitu cha kunishauri naomba u Mute😎
Kwenye awamu hii ya meko bora uachane na chuo
 
Bado unayo nafasi malizia shule.. Ukiingia mtaani unaweza kupiga miguu yote yote, kuliko kuingia mtaani ukiwa na uwezo wa kupiga mguu mmoja.

Maisha hayana formula, umaweza ukaacha shule halafu kitaani kukawa kugumu. Sio kila njia aliyopitia fulani akafanikiwa nawe lazima utoboe na hiyo hiyo.

KOMAA

Shukran🙏
 
Kijana soma acha tamaa, maisha yana stages usiruke. Hilo boom lako la laki tano haliwezi kukusaidia hata kupata chumba kizuri cha kulala

Elimu sio ajira tu, elimu inakufungua akili na kukuwezesha kuweza kuwaza zaidi. Kuna opportunities nyingi zinaletwa na elimu zaidi ya ajira. Mie baada ya kumaliza degree ya kwanza nilipata scholarship nikaenda ulaya na requirement moja wapo ya hiyo scholarship ilikuwa ni kuwa na degree. Pia ile confidence ya elimu inaweza kukupa matokeo chanya kuliko kutokuwa na elimu.

Nakupa hii uishi nayo; Kama kuna jambo umelianza usiishie katikati hakikisha umelimaliza ndio uende kwenye lingine
 
Hilo boom unalotaka kuingia nalo mtaani ni Laki 5 ??

Naamin kuna watu wengi huko mtaan wameanza biashara zao na mitaji pungufu ya hiyo hela na kuna wengine huko mtaan wanatamani hilo boom ili watusue maisha🙂
 
Ushauri umeshiba huu, shukran🙏
Viva JF💪✌️
 
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu marahaba...

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa shukuran zangu za dhati kabisa kwa ndugu Maxence Melo kwa kuanzisha jukwaa hili pendwa la JamiiForums hakika ni baraka kwetu watumiaji🙏

binafsi mimi ni member mpya na nilianza kufuatilia threads mbalimbali kipindi bado Niko Form 2 way back 2012 baada ya kununua simu yangu ya kwanza ya kuweza kuaccess internet ndipo nilipokutana na hili jukwaa pendwa Facebook kwenye FreeBasics na nikaendelea kulifuatilia kwa ukaribu sana na nikatokea kulipenda sana kwa kiasi ambacho siku ikipita bila kuingia JF kusoma threads za akina Kiduku Lilo na kaka Mkubwa Mshana jr nlikuwa nahisi kupungukiwa kitu.😂😂

Japo frankly speaking hii JF ya zama hizi ni tofauti kidogo na ile iliyokua chanzo cha Mimi kuikubali JF sababu sikuhizi members wamekuwa na threads zenye contents zisizokuwa na maadili ndo maana sijawah kujiregister na sometimes inafikia hatua members humuhumu JF anashindwa kupost kuomba ushauri humu jukwaani kwa kuhofia kupokea bad response kutoka kwa wachangiaji.

🗣️I kindly invite you to RESTORE THE LOST GLORY OF JamiiForums🙏

Turudi kwenye hoja...

Mimi ni kijana aging 20-30 yrs ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili chuo kimoja apa bongo.

Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hatma ya hii elimu yangu nikiangalia kuna wahuni tumemaliza wote o-level kwa bahati nzuri hawakufanikiwa kusonga mbele Lakin wamefight kitaa sahv mambo yao yako Safi na wanafamilia zao hadi inafikia hatua boom likikata chuo unafikiria kuwapandia hewani wafanye miujiza maisha yasonge ila nafsi inakuwa inakusuta😷 sasa nikiangalia kwa upande wa hii serikali ya wananchi uwezekano wa kuajiriwa ( japo sipendi hii habari ya kuajiriwa serikali) na upande wa kujiajiri na hii kozi yangu still naona mambo ni bila bila.

Nilikua naomba ushauri wenu wa kipi cha kufanya make sahv nishafungua hatua ya kutouona umuhimu wa elimu kwa zama hizi kwa sababu nina ufahamu wa kiasi chake kuhusu hii elimu na nilishauondoa ujinga. 😎

Hapa nipo nawaza nichukue boom niingie kitaa nianze mishe mishe za kutafta future yangu make huu ndo umri wa kuhangaikia destiny zetu kabla ya fainali huko uzeeni.

Shida ni kuwa sina connection yoyote na sina uzoefu na biashara kwa sababu niliwekeza akili yangu yote huku kwenye elimu Lakin kwa sasa naona inataka kunisaliti😓

Naomba ushauri wa nn nifanye kwa hatua hii niliofikia, natanguliza shukurani🙏

N.B
Mimi sio mtoto wa mama wala last born, I mean sio mtu wa kutegemea watu kama ndugu na wazazi nikiwa na shida inayohitaj pesa🙂 kama huna kitu cha kunishauri naomba u Mute😎
Kwa hatta uliyofikia usiache, maliza ili kuweka profile yako sawa, na kwa sasa Anza kufanya Utafiti ni Biashara gani ufanye na ikiwezekana Anza hata maandalizi kabla ya kumaliza chuo, Na Anza kufanya mazoezi ku manage pesa na hio boom yako, mtaani hakuna kucheza na pesa.
 
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu marahaba...

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa shukuran zangu za dhati kabisa kwa ndugu Maxence Melo kwa kuanzisha jukwaa hili pendwa la JamiiForums hakika ni baraka kwetu watumiaji[emoji120]

binafsi mimi ni member mpya na nilianza kufuatilia threads mbalimbali kipindi bado Niko Form 2 way back 2012 baada ya kununua simu yangu ya kwanza ya kuweza kuaccess internet ndipo nilipokutana na hili jukwaa pendwa Facebook kwenye FreeBasics na nikaendelea kulifuatilia kwa ukaribu sana na nikatokea kulipenda sana kwa kiasi ambacho siku ikipita bila kuingia JF kusoma threads za akina Kiduku Lilo na kaka Mkubwa Mshana jr nlikuwa nahisi kupungukiwa kitu.[emoji23][emoji23]

Japo frankly speaking hii JF ya zama hizi ni tofauti kidogo na ile iliyokua chanzo cha Mimi kuikubali JF sababu sikuhizi members wamekuwa na threads zenye contents zisizokuwa na maadili ndo maana sijawah kujiregister na sometimes inafikia hatua members humuhumu JF anashindwa kupost kuomba ushauri humu jukwaani kwa kuhofia kupokea bad response kutoka kwa wachangiaji.

[emoji2788]I kindly invite you to RESTORE THE LOST GLORY OF JamiiForums[emoji120]

Turudi kwenye hoja...

Mimi ni kijana aging 20-30 yrs ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili chuo kimoja apa bongo.

Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hatma ya hii elimu yangu nikiangalia kuna wahuni tumemaliza wote o-level kwa bahati nzuri hawakufanikiwa kusonga mbele Lakin wamefight kitaa sahv mambo yao yako Safi na wanafamilia zao hadi inafikia hatua boom likikata chuo unafikiria kuwapandia hewani wafanye miujiza maisha yasonge ila nafsi inakuwa inakusuta[emoji40] sasa nikiangalia kwa upande wa hii serikali ya wananchi uwezekano wa kuajiriwa ( japo sipendi hii habari ya kuajiriwa serikali) na upande wa kujiajiri na hii kozi yangu still naona mambo ni bila bila.

Nilikua naomba ushauri wenu wa kipi cha kufanya make sahv nishafungua hatua ya kutouona umuhimu wa elimu kwa zama hizi kwa sababu nina ufahamu wa kiasi chake kuhusu hii elimu na nilishauondoa ujinga. [emoji41]

Hapa nipo nawaza nichukue boom niingie kitaa nianze mishe mishe za kutafta future yangu make huu ndo umri wa kuhangaikia destiny zetu kabla ya fainali huko uzeeni.

Shida ni kuwa sina connection yoyote na sina uzoefu na biashara kwa sababu niliwekeza akili yangu yote huku kwenye elimu Lakin kwa sasa naona inataka kunisaliti[emoji29]

Naomba ushauri wa nn nifanye kwa hatua hii niliofikia, natanguliza shukurani[emoji120]

N.B
Mimi sio mtoto wa mama wala last born, I mean sio mtu wa kutegemea watu kama ndugu na wazazi nikiwa na shida inayohitaj pesa[emoji846] kama huna kitu cha kunishauri naomba u Mute[emoji41]
Dogo, umeshasoma miaka 2, kuimalizia hiyo 2 mingine au 1 ndio imekuwa tatizo kwa kisingizio chepesi cha kukosa ajira na connection?

KUMBUKA: ukihitimu na kupata shahada yako hakuna namna utakuja kujuta kwamba hukusoma, lakini ukikatisha masomo kuna siku utakuja kujuta kwa nini hukuhitimu.

Vv
 
Komaa na shule kwanza Mwaka wa pili kwa Sheria huwa ni utata mtupu unabanwa mbavu na Land Law mpaka unawaza uache shule... njoo na degree yako ndio utapambana vizuri na mtaa
 
Kwa hatta uliyofikia usiache, maliza ili kuweka profile yako sawa, na kwa sasa Anza kufanya Utafiti ni Biashara gani ufanye na ikiwezekana Anza hata maandalizi kabla ya kumaliza chuo, Na Anza kufanya mazoezi ku manage pesa na hio boom yako, mtaani hakuna kucheza na pesa.

Shukran kwa ushauri🙏
shida ni kwamba ada nalipiwa 50% na loan board so 50% ya boom [ yote manne kwa mwaka] huwa natumia kulipia ada inayobakia na kodi ya pango, around 65k/6months and still kuna mdg wangu pia anantegemea namlipia chuo VETA so siwez Fanya saving ili nifanye biashara kwa kwel pesa haitoshi ukizingatia bdo kuna vitu vya kununua vinvyohusiana na chuo kama Acts n.k na matumiz madogomadogo as a man inakua changamoto😒
Naomba ushauri kuhusu hili please🙏
 
Naamin kuna watu wengi huko mtaan wameanza biashara zao na mitaji pungufu ya hiyo hela na kuna wengine huko mtaan wanatamani hilo boom ili watusue maisha🙂
Malizia tu kwanza hiyo miaka 2 iliyobaki. Nyakati zinabadilika sana, leo una boom ukiliacha ukaingia mtaani utakuja kukosa hata hiyo ada ya kurudi chuo. Na unaweza kurudi mtaani huko chuo mambo yakabadilika zaidi ada n.k na wewe huku mtaani siyo guaranteed kwamba utatoka.

Hapo utakuwa umepoteza TWICE.

Kuingia mtaani, utaingia tu wala hilo halikwepeki. Kuwa na SUBIRA.
 
Back
Top Bottom