MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,522
- 13,806
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu marahaba.
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa shukuran zangu za dhati kabisa kwa ndugu Maxence Melo kwa kuanzisha jukwaa hili pendwa la JamiiForums hakika ni baraka kwetu watumiaji[emoji120]
binafsi mimi ni member mpya na nilianza kufuatilia threads mbalimbali kipindi bado Niko Form 2 way back 2012 baada ya kununua simu yangu ya kwanza ya kuweza kuaccess internet ndipo nilipokutana na hili jukwaa pendwa Facebook kwenye FreeBasics na nikaendelea kulifuatilia kwa ukaribu sana na nikatokea kulipenda sana kwa kiasi ambacho siku ikipita bila kuingia JF kusoma threads za akina Kiduku Lilo na kaka Mkubwa Mshana jr nlikuwa nahisi kupungukiwa kitu.[emoji23][emoji23]
Japo frankly speaking hii JF ya zama hizi ni tofauti kidogo na ile iliyokua chanzo cha Mimi kuikubali JF sababu sikuhizi members wamekuwa na threads zenye contents zisizokuwa na maadili ndo maana sijawah kujiregister na sometimes inafikia hatua members humuhumu JF anashindwa kupost kuomba ushauri humu jukwaani kwa kuhofia kupokea bad response kutoka kwa wachangiaji.
[emoji2788]I kindly invite you to RESTORE THE LOST GLORY OF JamiiForums[emoji120]
Turudi kwenye hoja...
Mimi ni kijana aging 20-30 yrs ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili chuo kimoja apa bongo.
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hatma ya hii elimu yangu nikiangalia kuna wahuni tumemaliza wote o-level kwa bahati nzuri hawakufanikiwa kusonga mbele Lakin wamefight kitaa sahv mambo yao yako Safi na wanafamilia zao hadi inafikia hatua boom likikata chuo unafikiria kuwapandia hewani wafanye miujiza maisha yasonge ila nafsi inakuwa inakusuta[emoji40] sasa nikiangalia kwa upande wa hii serikali ya wananchi uwezekano wa kuajiriwa ( japo sipendi hii habari ya kuajiriwa serikali) na upande wa kujiajiri na hii kozi yangu still naona mambo ni bila bila.
Nilikua naomba ushauri wenu wa kipi cha kufanya make sahv nishafungua hatua ya kutouona umuhimu wa elimu kwa zama hizi kwa sababu nina ufahamu wa kiasi chake kuhusu hii elimu na nilishauondoa ujinga.
Hapa nipo nawaza nichukue boom niingie kitaa nianze mishe mishe za kutafta future yangu make huu ndo umri wa kuhangaikia destiny zetu kabla ya fainali huko uzeeni.
Shida ni kuwa sina connection yoyote na sina uzoefu na biashara kwa sababu niliwekeza akili yangu yote huku kwenye elimu Lakin kwa sasa naona inataka kunisaliti[emoji29]
Naomba ushauri wa nn nifanye kwa hatua hii niliofikia, natanguliza shukurani[emoji120]
N.B
Mimi sio mtoto wa mama wala last born, I mean sio mtu wa kutegemea watu kama ndugu na wazazi nikiwa na shida inayohitaj pesa[emoji846] kama huna kitu cha kunishauri naomba u Mute.