Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Sorry mkuu, unaanzaje kujiua kisa ex anaumwa? Tena mliachana 17yrs ago, alimove on akaoa na watoto juu!! Nadhani ingeleta maana kama anaomba nauli kwa watoto wakamwangalie baba yao lkn yeye! Hell no.

My thought though, no hard feelings
 
Mungu akubariki pia kwa moyo wako mkunjufu!! Wanawake wengi huteswa na mapepo na magonjwa mengi kwa sababu ya kuhifadhi uchungu vifuani mwao!! Hongera kwa kushinda Hilo jaribu


Si kweli!

Watu wanasema kwa minajili wasaidiwe!

Sio kusema kutoa yaliyo kifuani ili kupata psychological solace na relief!

Mamdenyi katoa vitu hadharani ili mwenye "kuguswa" atoe chochote!

Tatizo langu ni kua,hawasemi straight "wakuu nauguliwa sina hela niongezeeni nimtibu"...wanakuja kinyumenyume!!!

Hili ni jukumu,alikua hajajipanga kulirekebisha,misaada inatafutwa kijanja!

I find it hard when someone uses some third-party language to deceive people to get huruma ya msaada,inaonesha lack of honesty na hypocrisy.Ni ujanja pia maana wanadamu hatupendi mtu aje straight.

This is beyond me!
 
Tumekuelewa mkuu pole sana,bora umesema maana siri siku zote humfanya mtu kutokuwa huru...
 
Humjui mleta mada weye na ulichoandika unaonesha dhahiri hujasoma post ukaielewa
 

Tunachangia wapi sasa? Pole sana ndio mitihani ya dunia
 
Angalia usijeenda mwagiwa maji ya moto na mkewe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…