Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Leo umeniangusha Madam, huyu anajenga daraja la kifamilia hasa watoto kuwaunganisha na nduguze wewe hutaki?
Pia anataka asiachiwe deni moyoni endapo huyu x wake ataenda njia ya ulimwengu asibaki na lawama.

Mamndenyi go dadake
 
Kama haya mandishi yameandikwa na mwanamke anaitwa mama basi mungu anisamehe kwa nili vyo kuwazia
 
EMPATHY!
 
Pole sana Mkuu hivi toke mlivyotengana hukuwa na Mahusiano Mazuri na Familia yako au Familia Yake? Huna Ndugu wa damu wa karibu kabisa mbali na Members wa JF.. Naongea hivi kwa kuwa JF kuna wahanga walishajaribu kusaidia lakini mwisho wake kumbe muomba msaada alikuwa anazuga tu..

Kwa hiyo utaulizwa maswali mengi ili watu waweze kuthibitisha hoja yako bila kuwa na wasi wasi wowote.
 
Leo umeniangusha Madam, huyu anajenga daraja la kifamilia hasa watoto kuwaunganisha na nduguze wewe hutaki?
Pia anataka asiachiwe deni moyoni endapo huyu x wake ataenda njia ya ulimwengu asibaki na lawama.

Mamndenyi go dadake
Siwezi kukufurahisha kila siku. Nimekoment ki great thinker sema umesoma juu juu
 
POLE Mamdenyi, usiende huko Mbeya na hela nyingi maana mgonjwa hatapona kama ni muhimu sana uza vi kuku vyako au ka kirikuu upeleke kwa mgonjwa.
Hivi watanzania tuna tabia gani....[emoji16] [emoji16]
Kama mtu unaona hauna kigezo cha kukidhi maombi ya mleta uzi, nibora ukakuwa kimya kuliko kujiweka kiherehere kwa ushauri wa kipuuzi usio na tija kwa bimkubwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…