Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Kwani kwa muda wote huo huna mtu unaembatana naye katika mahusiano?yeye naye anasemaje,katoa ruhusa uende au unataka utoke kiaina ili ukamuuguze huyo ex wako,maana atakuwa anajua in and out ya uhusiano wako na huyo mtu kabla yake yeye...
Hili ndilo tatizo la kutokuelewa aiseeeeee.....
Mleta uzi ahitaji ku disclose mambo yake binafsi, zaidi ameomba kusaidiwa
 
[emoji115] [emoji115]
Pole sana member mwenzetu, ingependeza kama ungeweka contact yako ili tuungane nawe katika magumu yaliyokupata,.
 
Acha uswahili mkuu....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mbona skuhizi sote tunatambua kwamba popote unaweza hamisha fedha toka mtandao wowote na kwenda mtandao wowote.....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Acha mbwembwe comrade....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…