Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
NAMFAHAMU JANETH SIAME?Asanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;
Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.
Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;
Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.
Asanteni sana!
Wewe umeona nimemcheka au nimesema dada yangu.....!??HATA WEWE UTAKUWA MUHENHA HAKUNA LA AJABU NI SAWA UMCHEKE MAREHEMU ILHALI NA WEWE UNAELEKEA HUKO UJINGA HUU........
MMMH MACHOZ YAMENTOKA Y? SIJUI KWANINIPole sana dada/mama,
Matatizo yapo na hakuna aliyeumbiwa matatizo, huo ni wakati tu, UTAPITA.
2001-2018 = 17
Sitaki kuhoji sana ila tu nimeguswa na hilo tatizo lako..
Tujulishane ni njia ipi itatumika ili kukuwezesha kwa chochote tutakachobarikiwa.
Haka kamstari katakufaa pia,
Zaburi 121
Nitayainua macho yangu niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika bwana aliyezifanya mbingu na nchi.
hii lugha uliyotumia inaonyesha unashangaa kwamba YEYE ni mkubwa na wewe ni mdogo nakukumbusha tu kuwa hata wewe unaendelea kukuwa na utazeeka kama mungu akikupa kibaliWewe umeona nimemcheka au nimesema dada yangu.....!??
Asanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;
Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.
Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;
Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.
Asanteni sana!
Watu kumbe mna roho za visasi namna hiiSema wewe maana wengine tunaonekana tuna roho mbaya
Tunachangia hela ya sumuWatu kumbe mna roho za visasi namna hii
Ameniudhi sanaNinaamini yuko safarini tayari
Hatuwezi kufanana miss, wapo wenye huruma, wakatili, roho mbaya, visasi, jeuri, gaidi na wenye msamaha. Chagua fungu lako hapaAmeniudhi sana
Ukienda Syria utafanya kazi nzuri hukooTunachangia hela ya sumu
KisasiHatuwezi kufanana miss, wapo wenye huruma, wakatili, roho mbaya, visasi, jeuri, gaidi na wenye msamaha. Chagua fungu lako hapa
Hata bongo inaitajikaUkienda Syria utafanya kazi nzuri hukoo
Jamani eee, wakati mwingine pia tusiwe tunasahau vimira vyetu ingawa vinaweza kuonekana vya ovyo! Ni hivi kuna makabira mengine kama kule nitokako Mimi, ukishazaa watoto na mwnamke au mwanaume fulani kisha mkaachana, wakati Wa matatizo ya kijamii hasa ugonjwa au kifo, watu hawa watafarijiana watoto wakiwa kama ni bond kati yao. Hapa huyu mama anafanya anayoyafanya kwa heshima ya watoto wake basi. Na watoto wake wangekuwa na uwezo Wa kwenda mbeya kumwona baba yako, isingelikuwa lazima kwa Mamdenyi kwena huko. Na shemeji yake anamjulisha juu ya ugonjea wa ex wake kwa vile hao wawili wana watoto ambao bado wanalelewa.Eti shemeji kampigia simu kumpa taarifa za ugonjwa.... Kweli tunatofautiana akili na maamuzi. Hii haimuhusu hata robo, labda mara mia angesema anaomba msaada wa nauli ya watoto wakamuone baba yao mgonjwa, hii ingeleta maana sana kuliko hilo la yeye kwenda.
Hawajawai kuwalelea hata siku mojaJamani eee, wakati mwingine pia tusiwe tunasahau vimira vyetu ingawa vinaweza kuonekana vya ovyo! Ni hivi kuna makabira mengine kama kule nitokako Mimi, ukishazaa watoto na mwnamke au mwanaume fulani kisha mkaachana, wakati Wa matatizo ya kijamii hasa ugonjwa au kifo, watu hawa watafarijiana watoto wakiwa kama ni bond kati yao. Hapa huyu mama anafanya anayoyafanya kwa heshima ya watoto wake basi. Na watoto wake wangekuwa na uwezo Wa kwenda mbeya kumwona baba yako, isingelikuwa lazima kwa Mamdenyi kwena huko. Na shemeji yake anamjulisha juu ya ugonjea wa ex wake kwa vile hao wawili wana watoto ambao bado wanalelewa.
Miss Natafuta sijakuelewa!Hawajawai kuwalelea hata siku moja
Watu wengi wenye majibu kama haya no wale waliozaliwa familia za kimasikini mmekuja mjini kwa shemeji zenu mmeanza kulalia godoro na kuficha chenji za jikoni mnunue vocha alafu mnakuja kujivimbisha humu ngoja dada yako aachike urudi kijijini ndo utaelewa kwanini watu wanaombaga msaada!