Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Usinipangie cha kuandika. Andika wewe sasa.
Sikupangii mkuu, lakini ukweli lazima niuseme ili wenye mawazo kama yakwako wajitambue.....
Alafu eti unajifanya kuzira humu.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Be positive itakusaidia sana kama hauwezi basi ukiona jambo linakukereketa unakaa kimya.

Tulioguswa acha tuchange tukiibiwa ni za kwetu na siku ukiwa na shida andika tukiguswa tutatoa pasipo hata kuchunguza Id yako. Uwe na wakati mwema.
 
Tatizo humu ndani tumechanganyikana na watoto wasio fahamu maana ya neno "ukubwa jalala" na wamekariri ugali wa shkamoo.... mbaya zaidi wakija humu tunawaita kwa heshima "mkuu" then wanataka watupande vichwani... common....[emoji16] [emoji16]



Ushimen

Ukubwa ni kutoa matatizo hadharani ili usaidiwe?

Na sio kuomba msaada wa walao mkopo kwa marafiki au ndugu zako wa maisha utatue matatizo then uje uwarudishie?

Unaona ni sawa kutoa matatizo kwenye "platform" kabisa nchi nzima ione uanze kutumiwa "mpesa"?

Tangu lini ukubwa ni kua ombaomba JF?

This is insane!
 
Mkuu unaonaje hili wazo lako ukalifungulia uzi ili tujue unacho sema hapa unamanisha
 
Bimkubwa kaweka wazi shida yake, na kwa unyenyekevu mkubwa kaomba kusaidiwa na yeyote atakae guswa....
Bahati mbaya sana mme kuja wanao fanana na wewe kwamba mnamuuliza vijimaswali na ama mnampa ushauri, wakati bimkubwa hakuja kuomba ushauri hapa na hajakuja kuhitaji mjadala wa matatizo yake na mzazi mwenzie.....
Ebu toa hela mkuu, hata 2000 is better than nothing.
 



Sitoi

Hii mambo ya watu kukwepa majukumu siisapoti kabisa!

Wote tuna shida sawa kabisa!

Wanadamu hua tunadhani shida zetu binafsi ni kubwa sana zaidi ya za watu wengine kumbe si kweli.Wote tunaumia the same.Tofauti ni level za upayukaji!

Imagine kila member humu atoe matatizo yake kwa kufungua uzi?Kungekua na uzi zaidi ya elfu kumi kwa siku!

Hebu tuache huu upumbavu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…