Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Kwa 50+ days zenye umekaa humu, hazija kutosha kumfahamu @Mamdenyi...... Hivyo kaa chini wakubwa tujadili mambo ya msingi na wewe endelea kujifunza na uijue jf na watu wake mujarab
 
Yeah ni kweli. Wanawake wanatunza sana machungu vifuani mwao

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Naomba nikupuuze tafadhali....[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kwa 50+ days zenye umekaa humu, hazija kutosha kumfahamu @Mamdenyi...... Hivyo kaa chini wakubwa tujadili mambo ya msingi na wewe endelea kujifunza na uijue jf na watu wake mujarab

Ushimen

Nothing u can tell me kuhusu ID inayoitwa Mamdenyi!

Nipo JF tangu 2009!

Hii ni ID yangu ya pili,niliachana na ya kwanza!

Naona una judge a book by its cover,and thats cute of you!

Una ukubwa gani?

Ukubwa ni kuja kulia shida na kuomba michango kwenye internet?

This is new to me!
 
Unataka umoja gani?

Umoja kutoka kwa some random internet people u even do not know in person?

I see!
Mkuu we fanya unacho weza kukielewa

Ila huwezi kuelewa wanacho fanya wengine

Hapo najua na wewe una matatizo yako sasa unatafuta pa kupunguzia hasira

Mapito ya mwanadamu hayawezi kufanana maana kila mmoja na pito lake

Nikuombe kitu mkuu ukijua jambo lina kukela jitahidi ulifungulie uzi ili lijadiliwe kuliko kuja kukashifu wengine
 
Nimefurahia DEBE lako mkuu, ubarikiwe sana sana
Tatizo humu ndani tumechanganyikana na watoto wasio fahamu maana ya neno "ukubwa jalala" na wamekariri ugali wa shkamoo.... mbaya zaidi wakija humu tunawaita kwa heshima "mkuu" then wanataka watupande vichwani... common....[emoji16] [emoji16]
 
Kila binadamu ana matatizo!

Kila mtu alishauguza na anauguza!

Shida tumeumbiwa wote!

Tatizo ni pale kuna waliokosa aibu na common decency tu wa kuyashughulikia matatizo yao kama wengine wote humu wanavyofanya.Wanachofanya ni kutunga insha zenye maneno ya kuhuzunisha sana na kuyaweka hadharani jamii iwabebe hayo matatizo.Ni tabia mbaya sana ya kukwepa majukumu!

Walao basi mtu uje kwa uwazi na sio kinafiki nafiki namna hiii.Inaonesha kuna low level of honesty.
 
Tatizo humu ndani tumechanganyikana na watoto wasio fahamu maana ya neno "ukubwa jalala" na wamekariri ugali wa shkamoo.... mbaya zaidi wakija humu tunawaita kwa heshima "mkuu" then wanataka watupande vichwani... common....[emoji16] [emoji16]
Muache tena si umeshajua ni mtoto? Au na wewe unaendelea kuwa mtoto?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…