Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

Kuna magari switch zimekufa kabisa, utasukuma weeee mpaka basi, kama dereva nikichoka naondoka zangu potelea mbali

[emoji23][emoji23][emoji23] hali hiyo yaweza sababishwa na Wewe kushindwa kui peleka hiyo Gari service za Mara Kwa Mara ! Gari kutokuwaka sababu zaweza kuwa nyingi siyo kufa Kwa switch pekee [emoji14][emoji14][emoji14] Wewe Kama dereva/Mwenye Gari Ni kazi yako kutafuta kujua Kwa nini imekuwa hivyo! Coz Gari hiyo hiyo unayozani kuwa switch zimekufa hata ukisukuma Gari haiendi, utashangaa akija Mwenye kuijulia inawaka Kwa urahisi na kuanza kwenda mbele! Kitu mahaba ya dhati Siku hizi adimu!
 
Safi sana mzee
 
Siku nguvu za kazi zitakapo pungua na mchuzi wa pweza utakapokuwa hadimu,
ndo utajua wanaume wanashindwaje kuwaridhisha wake zao.
unafikiri wanapenda kuchapiwa., japo ni siri ya ndani
Teh teh unamaanisha hao wanao chapa wanatoka sayali gani vile?
 
Kuna mshkaji wng hajaoa alikuwa ananimbia kuna dem wake anampa feedback eti mshkaji hamridhishi then mshkaji akawa ananionyesha feedbacks za wanawake wengine wanavyo appreciate na kuhitaji show nyingine,,, HAYA MAMBO HAYAELEWEKAGI
Peni la ndani bovu sana basi tu kuvumilia unarudi zako na hamasa hom na pasel juu ukifika homa unakuta mtu kaviiiimba hafu chafuuu hatamniki kisa umechelewa kidogo

Hivi apa mpaka akili irudi sawa si upo kazini tena unaonyeshwa paja za zinazo tafuta
 
Back
Top Bottom