mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Inakuwaje mwanaume mzima ukiwa na zana zote unashindwa kumridhisha mkeo. Wale Malesbian hawana 'vifaa' muhimu lakini bado wanawaridhisha wenzao sembuse wewe mwanaume mwenzangu? Mapenzi ni fani tujifunze kabla hatujaanza kuibiwa.
Nawasilisha.
Nawasilisha.