Love youBila shaka
Remember it is your responsibility.......you just can't neglect it. Whatever the condition may be.Bado bwana madogo, ...ukikua utajua ,..yaani uwaze kutafuta pesa au uwekezaji for your 4th generation to come ,..afu uwaze kumfikisha mwenzi kileleni,... hayo mambo waachie akina bakharesa au biliget,..
haha napita tuUnajua kuwaridhisha nyinyi hakuhitaji ubaunsa .....kunahitaji utaalamu zaidi kuliko nguvu.... Waswahili wanasema "mvuvi amjua pweza alipo"
AsanteLove you
You are most welcomeAsante
One part of a solution setMzee Juma niongeze supu ya Pweza,... Weka ngisi za kutosha
Mgonjwa amepata ahueniAsante
Really!!!umetumia dawa tayar?Mgonjwa amepata ahueni
Hapana... Maneno ya doctor yamempa matumainiReally!!!umetumia dawa tayar?
Haha sawa banaHapana... Maneno ya doctor yamempa matumaini
Hapo mkuu utakuwa unafanya kitu tunaita DUTY SEX... na sio PLEASURABLE SEX... Yaani kufanya tendo la ndoa kama kitimiza jukumu au wajibu.. Au vinginevo... Tofauti ya mke na mchepuko lamiRemember it is your responsibility.......you just can't neglect it. Whatever the condition may be.
Wanawake wengi huwa wanafikiria kifupi sana, I have bin talking to my wife na kumwabia the same! Ili shoo iwe poa lazima mtu awe sawa psychologicall kuna muda kazini ni kama kuna mazingira ya kutimuliwa hivi mwanamke hakusomi facially ajue haupo sawa analalamika tu, conservative hawa!Peni la ndani bovu sana basi tu kuvumilia unarudi zako na hamasa hom na pasel juu ukifika homa unakuta mtu kaviiiimba hafu chafuuu hatamniki kisa umechelewa kidogo
Hivi apa mpaka akili irudi sawa si upo kazini tena unaonyeshwa paja za zinazo tafuta
Mkeo ni tofauti na mchepuko... ...unatakiwa umtimizie mahitaji yake yote... Likiwemo hilo... Na hilo ndio msingi wa ndoa kumbuka.Hapo mkuu utakuwa unafanya kitu tunaita DUTY SEX... na sio PLEASURABLE SEX... Yaani kufanya tendo la ndoa kama kitimiza jukumu au wajibu.. Au vinginevo... Tofauti ya mke na mchepuko lami
Doctor wacha kunitesa... Nipe dawa.Haha sawa bana
Kesho inshaAllah gona sleep nowDoctor wacha kunitesa... Nipe dawa.
Hahaaaa kweli, mbona madarasa yapo mengi tu? Tutangaze *TUITION*Inakuwaje mwanaume mzima ukiwa na zana zote unashindwa kumridhisha mkeo. Wale Malesbian hawana 'vifaa' muhimu lakini bado wanawaridhisha wenzao sembuse wewe mwanaume mwenzangu? Mapenzi ni fani tujifunze kabla hatujaanza kuibiwa.
Nawasilisha.