Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,289
- 4,643
- Thread starter
-
- #21
Yani unatuma pesa tigo pesa tu na kigezo umiliki vyura wa kihansiππMimi kwenye tigo tu naweza kukupa hadi dollars elfu 25 ila uwe nachura tu
Wanaume wanatafuta pesa kwa ajili ya familia zao.Kwa hiyo wanaume wapenda pesa huitwaje?
Matumizi yapi?Kwa matumizi..
Hapana nakutumia moto mkali kwenyemaviYani unatuma pesa tigo pesa tu na kigezo umiliki vyura wa kihansiππ
Kwani mimi story yangu haijaisha?πUkute mleta mada ni mpwayungu village anatuchora tu.
Nipe beiAnza kuuza hayo matundu
Wapo wanawake wana familia piaWanaume wanatafuta pesa kwa ajili ya familia zao.
Nipe huo mfano wa mwisho kwanza halafu utaona mchanganuo wakeπππMatumizi yapi?
Mfano:
Je nikikupa laki tano sasa hivi, utaitumiaje?
Je nikikupa milioni moja sasa hivi utaitumiaje?
Je nikikupa milioni 5 sasa hivi utaitumiaje?
Je nikikupa milioni 10 sasa hivi utaitumiaje?
Je nikukupa millioni 50 sasa hivi utaitumiaje?
Je nikikupa millioni 100 sasa hivi utaitumiaje?
Naomba majibu tu. Nipo curious tu ππ
Khee unachoma choo sasa watu wajisaidie wapi?Hapana nakutumia moto mkali kwenyemavi
Ntumie picha nithaminishe ndio nikutajie beiNipe bei
πNipe huo mfano wa mwisho kwanza halafu utaona mchanganuo wakeπππ
Points zimebebwa hapa ila Kwa sababu tumezoea kunyoosheana mikono Kwa kujiona ni watakatifu Zaid ya wengine bas Kuna watu watakataaSidhani kama kuna mtu anachukia pesa..
PM..Ntumie picha nithaminishe ndio nikutajie bei
Sasa unataka utumie akili yangu na kumbe ni jobless ππππ
Mimi mwenyewe jobless kabisa πππ.
We toa majibu tuone uwezo wako wa kufikiri ππ
Wote hawapendi pesa humuππππPoints zimebebwa hapa ila Kwa sababu tumezoea kunyoosheana mikono Kwa kujiona ni watakatifu Zaid ya wengine bas Kuna watu watakataa
Ndivyo yalivyoumbwa..Pesa sabuni ya roho,hakuna kiumbe kisichoipenda pesa,kama wapo ni 1/1000000
Ngoja tuendelee kuzitafuta tukipata nanyi mtatutafuta sababu hatuwezi tafuta mara 2, 2. Yaani nitafute pesa kisha nihangaike poa kumtafuta wa kuja itumiaπ