Ninapambana mwanangu awe raisi 2030

Ninapambana mwanangu awe raisi 2030

Hahaha.........hapo lazima upambane umweke kijana wako tu, hata kama italazimu kuua Watanganyika wote
Nimeandaa kikosi kazi,Kuna mtu nimempa matumaini kwamba atakuwa yeye,lakini ghafla atakumbana na kashfa na ndipo itaonekana Bora mwanangu
 
Nikisubiri 2040 ndio aishike nchi,sina uhakika na uhai wangu kutokana na umri wangu.
Japo Mimi ni Dola,lakini siwaani hawa wenzangu kama watampitisha hiyo 2040.
Hivyo muda pekee ni hii 2030 kwani Bado Nina nguvu na ushawishi mkubwa.
Nitawapoteza wote watakao zuia mwanangu asiwe raisi 2030.
Kwaherini
Pole pwani sio?
 
Back
Top Bottom