Ninaomba jibu la hesabu yangu hii hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,142
10013873_506376419461987_3669225530654129450_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
kujua magazijuto ni kitu kimoja na kuiapply ni kitu kingine.

kama wote tunajua kuiapply iweje tutofautiane majibu kwa wengine kupata 1 wengine 9?
 
mabano hufunguliwa kwa alama ya kuzidisha na si kugawanya pls.

6/2(1+2)
rtnaanza na MA- Mabano
(1+2)=3
;-6/2(3) ama kwa lugha rahisi
tumebaki na 6/2x3
the tunaendelea na GA-Gawanya
6/2=3
;- tumwbakiwa na 3x3 ambapo jibu la mwisho ni 9 hapo tumemaliza na ZI
(MAGAZI)
 
Back
Top Bottom