kadakokigondile
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 1,872
- 634
jibu lake ni kenda
Hahahahahaa! Pcm n baadae Engineering. piga vizur hyo hesabu utakubali kwamba jb n 9
We Gemmy utaendelea kuwa mbovu ivo ivo na huyu
Sanja umedhihirisha kweli ni tatizo.
Hivi moja mnaipataje?
Mzizimkavu ukiwa unaleta hesabu uwe unakuja kutoa jibu.
Watu wanazani ikiandikwa tu MAGAZIJUTO ndo fomula imekwisha.
Ngoja nianze darasa, maana ya MABANO ni SHUGHULIKA NA MABANO KWANZA, unayafungua kwa kushughulikia tendo ndan yake, sio kama wengine eti fungua MABANO anayafuta basi kichwan inabaki
6/2 1+2
Iyo zidisha katikati ya mabano mmepeleka wapi?
Au wengine akitoa MABANO nmeona juu huko anafanya hivi:
6/2=3
1+2=3
Alafu anagawa 3/3
Sasa kama fomula ni magazijuto unagawaje tena, au action ya kugawa unapata wap wakati ushagawa 6/2
Hesabu hii ni rahs kama nilivosema anza na MABANO maana yake yafungue, hatufungui kwakuondoa ila kwakushughulikia tendo lililopo
6/2 (1+2)
Kumbuka
Kuna zidisha katikati ya 2(1
Mabano yanafunguliwa kwa kujumlisha 1+2 = 3
Then gawanya 6/2 = 3
Maana yake ni hii
Sasa zidisha
3x3 maana kuna times kwenye 2(1
Na fomula inasema zidisha
Jibu ni 9
Sasa wale mnaogawa 3/3 iyo gawanya inatoka wap wakati ushagawanya kwenye 6/2
Mnaojumulisha je?
MATHEMATICS
Huyu ni HGE maneno mengi ila kaelekeza vizuri sanakwa nini usibaki tu kwenye HGL yako? maana hii essay kiboko!
jibu ni 1
Dumelang naomba kukaa na wewe kwenye mtihani ujao!mimi badala ya kuzidisha nika gawanya duuu! kazi ipo
Dumelang naomba kukaa na wewe kwenye mtihani ujao!mimi badala ya kuzidisha nika gawanya duuu! kazi ipo
safi sana mkuuGemmy mimi ni mwl by Professional. ndo kazi yaniweka mujini
jibu ni tisa
magazijuto jibu no 9
Kwa wale wanaojua hisabati jibu ni 9.
6/2(1+2) ni sawa na kuandika 6/2x(1+2)
Sasa apply MAGAZIJUTO
Mabano: (1+2) = 3
6/2x3
Gawanya 6/2 = 3
Zidisha
3x3 = 9
Jaribu kutumia excel au hata calculator app kwenye simu yako uone utapata jibu gani