Mkuu usikariri hesabu utapotea...kwenye hesabu kuna base,na hata huko kwenye log pia kuna base..sasa kwa kuwa mtoa swali hajatanabaisha ni base ngapi swali hilo likokotolewe,basi kwa kawaida unakokotoa kwa base ten..kwani nikuuliza 1+1 kwa base two jibu ni ngapi?
ha ha ha ha! siyo wote waniitao bwana bwana watauona ufalme wa Mungu! siyo lazima usome/ujue hesabu, masomo yako mengi! hesabu zina wenyewe![/QUOT
Nlikuwa nampa misingi mkuu,kwa 7bu alikuwa ameteleza sana...
Mkuu usikariri hesabu utapotea...kwenye hesabu kuna base,na hata huko kwenye log pia kuna base..sasa kwa kuwa mtoa swali hajatanabaisha ni base ngapi swali hilo likokotolewe,basi kwa kawaida unakokotoa kwa base ten..kwani nikuuliza 1+1 kwa base two jibu ni ngapi?
Ni sawa jibu ni moja nlichokuwa nataka tuwekane sawa ni kuwa kuna kitu kinaitwa base siyo tu kwenye log pekee...Duh!!!!
Nisaidie maana ya base kwenye hesabu mkuu,
maana mimi nilitumia idea za hesabu za form two zangu kuwa nifanye kwenye mabano kwanza,then niyafungue,
nikapata 1,
mweeeeh!!!!
Ni sawa jibu ni moja nlichokuwa nataka tuwekane sawa ni kuwa kuna kitu kinaitwa base siyo tu kwenye log pekee...
Jibu ni 1.
Unaanza na brackets, then multiplication then division.
Kwaheri
jibu sio 9 mkuu!??
Mkuu shakazulu kufungua mabano si kujumlisha za ndani pekee, ukifanya hivyo bado hujafungua mabano, kufungua mabano kwa hesabu hii ni lazima uzidishe na ya nje ya mabano km hv; 6/2(3+4) jibu la ndani ambayo ni 7 unaizisha na 2 jibu lake unatumia kuigawanya hiyo 6. Haiitaji kufika drs la 7 kujua hesabu hii.
By Marimba.
Ni sawa jibu ni moja nlichokuwa nataka tuwekane sawa ni kuwa kuna kitu kinaitwa base siyo tu kwenye log pekee...
Aisee nimeshangaa sana no wonder wanasema math ni ugonjwa wa taifa.....wanachokosea watu pale wanajumlisha 1 na 2 then 3 inaendelea kuwa kwenye mabano sasa sijui wamefunguaje mabano hapo....
Aisee nimeshangaa sana no wonder wanasema math ni ugonjwa wa taifa.....wanachokosea watu pale wanajumlisha 1 na 2 then 3 inaendelea kuwa kwenye mabano sasa sijui wamefunguaje mabano hapo....
Kuna msemo unasema if u cant convince them, confuse them, tutaanza kuwa confuse hapa ili mpotee kabisa.
Maana tukianza kueleza kwa misingi ya kihesabu, msiojua mtapotea.
Kuna jamaa kawashauri kama hujui hesabu tafuta excel ingiza hesabu utapata jibu.
Kama hesabu ina makosa itatoa error, sasa wengi labda hamna excel, tumia smartphone yk ingiza hesabu iyo kwa calculator
rudi kwa mchepuko wako aisee...
kanidokezea kuwa jibu ni 7,hahahaaaaa apo chachajibu hapo 9, Mzizimkavu njoo utoe jibu