Ninamtafuta John, mwenyeji wa Singida

Ninamtafuta John, mwenyeji wa Singida

Kuna wanawake wanachukuliaga poa kusema watalea mtoto/watoto pekeyao

Kumbe hawajui mtoto akikua lazima atahitaji kuujua ukoo wa Baba yake unless mama alipata mimba kwa kubakwa

JF ni kubwa, naamini utapata taarifa za John unayemtafuta

Kila la heri 🙏
 
Habari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top.
Huyu mtu inasemekana ana meno yaliyoungulia, na ni mweusi na mfupi (Kwa maelezo ya namna alivyoonekana mwaka 2006).
Naomba tuwasiliane Kwa namba 0757503034 au 0632503034
Kama kweli unamtafuta John wa Singida, jaribu kuongeza details kidogo mkuu—hasa jina kamili/maarufu, eneo au kijiji anachotoka Singida, na kama unakumbuka jina la hiyo hotel au restaurant ya Manzese-Tip Top aliyokuwa anafanya kazi mwaka 2006. Hizo details zinaweza kusaidia mtu aliyewahi kufanya naye kazi au kumfahamu kumtambua kwa urahisi.

Kila la heri kwenye search mkuu, naamini JF inaweza kukutanisha.
 
Sio kwa wewe mjomba mtu kuanza kuhangaika, kama mwenye mtoto haoni umuhimu wewe umuhimu unautoa wapi
Acha kuongea madudu kukaa kimya nayo ni sawa una shida gani yeye akimtafuta mtu ambae wewe hata haikuhusu tupunguze ujuaji usio na kichwa wala miguu..
 
Habari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top.
Huyu mtu inasemekana ana meno yaliyoungulia, na ni mweusi na mfupi (Kwa maelezo ya namna alivyoonekana mwaka 2006).
Naomba tuwasiliane Kwa namba 0757503034 au 0632503034
Kama una picha yake itakuwa vizuri
 
Kama kweli unamtafuta John wa Singida, jaribu kuongeza details kidogo mkuu—hasa jina kamili/maarufu, eneo au kijiji anachotoka Singida, na kama unakumbuka jina la hiyo hotel au restaurant ya Manzese-Tip Top aliyokuwa anafanya kazi mwaka 2006. Hizo details zinaweza kusaidia mtu aliyewahi kufanya naye kazi au kumfahamu kumtambua kwa urahisi.

Kila la heri kwenye search mkuu, naamini JF inaweza kukutanisha.
Taarifa nilizonazo ni jina lake la kwanza, sehemu alikotoka, na kazi aliyofanya wakati huo
 
Acha kuongea madudu kukaa kimya nayo ni sawa una shida gani yeye akimtafuta mtu ambae wewe hata haikuhusu tupunguze ujuaji usio na kichwa wala miguu..
Huko ni kukosa uwajibikaji, baba mwenye mtoto hajui kama alisababisha mimba ikaleta mtoto? Yaani anko badala ya kuanza kupambana na kumtengenezea huyo mtoto maisha maaana si makosa yake, uanze kuhangaika kumtafuta Baba yake, huo ni ujuha, kama wewe unajifanya umeongea point huko ni kupoteza muda, hiyo ni kazi ya mtoto kama anataka kumfahamu baba yake sio anko uhangaike, mama mtu akiwa anafanya nini?
 
Wewe mzee upo sahihi sana ila watu wote sio kama unavyofanya wewe upo sahihi sana nilikuelewa tofauti mzee samahani sana kwa kukuelewa tofauti...
 
Back
Top Bottom