Ninalia lakini sijui kinachoniliza

au ni macho yapi yanatoa machozi?
Ni haya ya usoni au ni macho mengine?

Tunaweza tukaa tunalalama kumbe twaongelea macho tofauti.
 
au ni macho yapi yanatoa machozi?
Ni haya ya usoni au ni macho mengine?

Tunaweza tukaa tunalalama kumbe twaongelea macho tofauti.

Kongosho ni macho yapi mengine unayajua zaidi ya haya mawili?
 
Mmeanzalini na nyie kulia jamani
it's a taboo.
Ndo maana mvua hainyeshi
ndo maana barafu ya mlima kilimanjaro inayeyuka
ndo kisa cha mafuriko
ndo mwanzo wa ajali

men dont cry! Macho huwa mekundu tu lakini machozi hapana.
Kwani mwanaume ndo haliagi au?
 
Mmeanzalini na nyie kulia jamani
it's a taboo.
Ndo maana mvua hainyeshi
ndo maana barafu ya mlima kilimanjaro inayeyuka
ndo kisa cha mafuriko
ndo mwanzo wa ajali

men dont cry! Macho huwa mekundu tu lakini machozi hapana.

Macho yakiwa mekundu si ndo utaambiwa unavuta bhange au wengine watasema mwanga
 
Ahsante mama inabidi nifanye hivyo, mimi ninaomba japo nikusalimie ''habari yako mama''

Mi mzima bana. . nije kukufuta machozi? Napenda kweli mwanaume akilia, sema sio kila siku. Mara moja ndani ya miaka kadhaa.
 
Mi mzima bana. . nije kukufuta machozi? Napenda kweli mwanaume akilia, sema sio kila siku. Mara moja ndani ya miaka kadhaa.

Ingekuwa vema maana nakosa mtu wakunifuta machozi
 
Vp wewe hujawahi kulia halafu ukashangaa nini kinakuliza

Nikilia huwa najuwa kinachoniliza.

Ukikuwa utaacha.

Usi "confuse" kutokwa na machozi na kulia. Unaweza ukalia bila kutokwa machozi na unaweza ukatokwa machozi bila kulia.
 
Nikilia huwa najuwa kinachoniliza.

Ukikuwa utaacha.

Usi "confuse" kutokwa na machozi na kulia. Unaweza ukalia bila kutokwa machozi na unaweza ukatokwa machozi bila kulia.

sasa kipi hapo kilishawahi kukotokea embu naomba unidadavulie
 
Back
Top Bottom