Ovyoo,Njo nikupakate,Mx
​Hhahaha kiswahili ni tofauti na vile unavyo kifahamu hahahaha
mkuu bangi inatoaga hadi machozi maana mimi natoka na machozi
Aaaaah!wacha utoto huo au una hamu na shem?mwambie tu ulimwengu wa uwazi huu!jamani mimi nashangaa ninalia ila sijui nini hasa kinanifanya nilie