Ninalia lakini sijui kinachoniliza

Ninalia lakini sijui kinachoniliza

Mkuu ebu nijuze, hivi Hiyo Avatar yako inarepresent jinsia yako kweli?
Maana hii kulia lia dah! inanichanganya sana, vilio vingine bana zinavuta hisia zetu!
Naona bado kwa sababu najaribu kuvuta kumbukumbu zangu ili nijue nini kinaniliza
 
U should not be afraid of tears for
they wash our eyes,soften our hearts and clear our vision
 
Mkuu ebu nijuze, hivi Hiyo Avatar yako inarepresent jinsia yako kweli?
Maana hii kulia lia dah! inanichanganya sana, vilio vingine bana zinavuta hisia zetu!

Wewe unaionaje acha kuvuta hisia mbaya mkuu
 
depression; u r doing the right therapy chatting!
 
Skiza nikutonye! Miswali ya nini ? We si pakatwa kwanza ! Kama kiubavu'ubavu kimenyumenyu utajulia huko.

Mkuu mipakato mingine unaweza ukajikuta unazidi kulia tu
 
Ndio maana unalia hata kinachokuliza hukijui, ikiwa hata umri wako huujui, hakuna cha ajabu hapo.

Ujue ukilia unaweza kupoteza network ukajikuta unasahau kila kitu
 
Back
Top Bottom